Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
''The Judgement day'' ile mpaka leo hii bado ni hatari sana[emoji1787]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji28]
kuna ile T2 ( Terminator 2) aka Anodi UjiUji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
''The Judgement day'' ile mpaka leo hii bado ni hatari sana[emoji1787]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji28]
kuna ile T2 ( Terminator 2) aka Anodi UjiUji
Kwenye only the strong kuna mwamba anaitwa soverio; sio poaHii muvi ni Kali ila hata only the strong ni Kali pia ( paranawe), pia DNA
Muvi nyingi za huyu jamaa ni kali sana. Kuna ingine ya Serbian scars, nayo ni poa sana!View attachment 2583319
Hii ni Moja ya muvi Bora za wakati wote...
Mark Dacascos alitembeza mkono kwenye hii muvi mwanzo mwisho....
Huyo Rasta fundi gereji muoga muoga....
Ni Moja ya ubunifu Bora kabisa kuwai kutokea kwenye tasnia ya muvi za ki mapigano...
Hii muvi inakukumbusha nini?
Hii muvi ilitamba miaka 2003 na 2004 kipindi lufufu ndio anatafsiri daa bonge la movie huyo adui anasema hawezi ua watu wasiokuwa na hatiaHiyo movie ni hiiView attachment 2583333
Mimi katika picha hii napenda kinanda chake tuu ila huyo mniga mdebwedo aling!atwa na mamba 😇 😇
The blood moon kitambo sanaHiyo movie ni hiiView attachment 2583333
Tobi na Maliki😅😅 kitambo sana Mia Mia zmeenda sana enzi izo Wakishua hawawezi elewaView attachment 2583319
Hii ni Moja ya muvi Bora za wakati wote...
Mark Dacascos alitembeza mkono kwenye hii muvi mwanzo mwisho....
Huyo Rasta fundi gereji muoga muoga....
Ni Moja ya ubunifu Bora kabisa kuwai kutokea kwenye tasnia ya muvi za ki mapigano...
Hii muvi inakukumbusha nini?
Arooooo! Kwa kweli, kule mwishoni Yule sterling mwingine yeye Kazi yake ikawa ni kuyatandika risasi mapipa ya mafuta.... Anayaporomosha na kisha kuyapiga risasi... Yanalipuka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Moja ya movies zangu bora za kivita hii mniga analiwa na mamba
Bonge lingine la movie.... Acha kabisa.... Yule kubwa la maadui kule kwenye mitambo... Anajipepea mwenyewe... Afu hacheki....[emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoma nyingine hii... Hii movie naikubali mpaka Leo....
Michael CameroonMichael dudugof