MARK II GR INAUZWA (4 cylinder)

MARK II GR INAUZWA (4 cylinder)

Mrbwire

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2009
Posts
200
Reaction score
51
Habari wakuu,
Kuna wa kuja mmoja amelazimika kuuza gari yake baada ya kujikuta anashindwa kurudisha marejesho ya mkopo wake bank.

Ni Mark II GR (Ni auto 4 cylinder) Gari ipo katika hali nzuri sana...
 
Last edited:
Mtu mwenyewe yupo kwenye frustrations, hajaniachia picha but ameipaki kwangu na kuniomba nimsaidie kutafuta wateja. Bei yake ni ya kuchanganyikiwa kabisa... anasema ni Tsh. Mil 5 na nusu. Ukiiona hautaamini!
 
Habari wakuu,
Kuna wa kuja mmoja amelazimika kuuza gari yake baada ya kujikuta anashindwa kurudisha marejesho ya mkopo wake bank.

Ni Mark II GR (Ni auto 4 cylinder) Gari ipo katika hali nzuri sana... mwenye uhitaji apige 0715 55 55 85
Weka picha ya gari hilo na bei yake tafadhari!
 
Mtu mwenyewe yupo kwenye frustrations, hajaniachia picha but ameipaki kwangu na kuniomba nimsaidie kutafuta wateja. Bei yake ni ya kuchanganyikiwa kabisa... anasema ni Tsh. Mil 5 na nusu. Ukiiona hautaamini!
Mbona rahisi? Piga picha kwa kutumia kamera ya simu halafu unganisha na PC yako halafu i-post hapa tuione.
 
Ok nitafanya hivyo, but it has to be tommorrow kwa sababu nimeipack home. Nitafanya hivyo kesho.
 
MARK II GR INAUZWA (4 cylinder) inaweza kuwa ni kitu chochote na wala si gari kama picha kalas!
 
teh teh teh, benki wamemgalaliza? jamani hivi unaponunua gari la mkopo na kazi yenyewe huna guarantee nayo ni akili au?

Watu wengi wanaendesha magari mjni ni mikopo tu wachache hela zao?
 
Asilimia kubwa ya hiyo mifoleni unayoiona saa kumi na moja unapotoka kazini ni madeni tupu! Siku kibarua kikiota nyasi ndo yanageuka kuwa haya...
 
Pole sana mtu wangu, ila msaidie ameshajifunza sasa hafanyi kosa tena. Mkopo kaka yangu unahitaji sana discipline ya hali ya juu, ukikopa ukaweka heshima bar ndiyo utakapojua maisha nini.

He!
 
naona sasa yashakuwa ni matusi, kushindwa kulipa deni sio kosa, haka kanchi kako kanadaiwa madeni yasiyolipika na mnaona ni poa tu
jamaa alikuwa anajaribu maisha kwa kuishi vizuri na kula vizuri sasa haijawork-out sio ktu cha kumsimanga wala kucheka
yeye anauza gari kwa hiyo bei na kwa quality ya hilo gari na sababu ya kuuza ni kutaka kulipa deni fullstop
 
Nakubaliana na wewe mkuu. Aidha nina habari njema kuwa pana watu wawili ambao tayari wamepiga na kuonesha seriousness ya kutaka kuichukua hiyo gari. Kitakachomsaidia ni hali ya gari na model yake... Ni gari inayouzika.

Let's hope that things will turn out well for him.
 
Vipi anachukua kwa installments au....? ..pia ukumbuke kuweka picha kesho kama ulivyoahidi mkuu
 
Sina uhakika juu ya upokeaji wa instalments but will get back to you baada ya kuongea naye leo jioni.
 
I am very skeptical about this car, huyu bwire anaonekana dalali either wa nyumba au whatever, mimi sinunui hii story eti mwenyewse yupo frustated amelipaki kwako anauza kwakuwa ameshindwa kulipa deni, kwenye thread ya nyuma ya kuuza shamba kigamboni (for 8ml) in this thread https://www.jamiiforums.com/matanga...amba-lenye-ukubwa-wa-ekari-tatu-linauzwa.html
umedai mwenyewe anauza kwakuwa hana options. siwakatishi moyo wanunuaji ila ni vema kufikiria nje ya box.
 
I am becoming speechless. The only thing I can ask from (But only if you are a buyer) is go with me after working hours. But I like the idea of thinking out of a box.

Lakini pia elewa ni wangapi ndugu zetu au rafiki zetu who know how to use these media? Ni kutokana na hivyo they would definately run to the people they think they are in a position to help.
 
Kinyau,

Kula 5 kwanza.....I like JF kwa kweli! ha!ha!ha!ha!
 
I am becoming speechless. The only thing I can ask from (But only if you are a buyer) is go with me after working hours. But I like the idea of thinking out of a box.

Lakini pia elewa ni wangapi ndugu zetu au rafiki zetu who know how to use these media? Ni kutokana na hivyo they would definately run to the people they think they are in a position to help.

Additionaly, for Kinyau and any other colleague with difficulties to beleave that I have that car at my place

Upon buyer's request I may bring the car closer to you so that those with interest may have time ya kuja na kuiona at VICTORIA (Njia ya kwenda Mwenge). Narudia, this has to be upon buyer's request
 
Back
Top Bottom