Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka picha ya gari hilo na bei yake tafadhari!Habari wakuu,
Kuna wa kuja mmoja amelazimika kuuza gari yake baada ya kujikuta anashindwa kurudisha marejesho ya mkopo wake bank.
Ni Mark II GR (Ni auto 4 cylinder) Gari ipo katika hali nzuri sana... mwenye uhitaji apige 0715 55 55 85
Mbona rahisi? Piga picha kwa kutumia kamera ya simu halafu unganisha na PC yako halafu i-post hapa tuione.Mtu mwenyewe yupo kwenye frustrations, hajaniachia picha but ameipaki kwangu na kuniomba nimsaidie kutafuta wateja. Bei yake ni ya kuchanganyikiwa kabisa... anasema ni Tsh. Mil 5 na nusu. Ukiiona hautaamini!
teh teh teh, benki wamemgalaliza? jamani hivi unaponunua gari la mkopo na kazi yenyewe huna guarantee nayo ni akili au?
Watu wengi wanaendesha magari mjni ni mikopo tu wachache hela zao?
playerhaterteh teh teh, benki wamemgalaliza? Jamani hivi unaponunua gari la mkopo na kazi yenyewe huna guarantee nayo ni akili au?
Watu wengi wanaendesha magari mjni ni mikopo tu wachache hela zao?
naona sasa yashakuwa ni matusi, kushindwa kulipa deni sio kosa, haka kanchi kako kanadaiwa madeni yasiyolipika na mnaona ni poa tu
jamaa alikuwa anajaribu maisha kwa kuishi vizuri na kula vizuri sasa haijawork-out sio ktu cha kumsimanga wala kucheka
yeye anauza gari kwa hiyo bei na kwa quality ya hilo gari na sababu ya kuuza ni kutaka kulipa deni fullstop
I am very skeptical about this car, huyu bwire anaonekana dalali either wa nyumba au whatever, mimi sinunui hii story eti mwenyewse yupo frustated amelipaki kwako anauza kwakuwa ameshindwa kulipa deni, kwenye thread ya nyuma ya kuuza shamba kigamboni (for 8ml) in this thread https://www.jamiiforums.com/matanga...amba-lenye-ukubwa-wa-ekari-tatu-linauzwa.html
umedai mwenyewe anauza kwakuwa hana options. siwakatishi moyo wanunuaji ila ni vema kufikiria nje ya box.

I am becoming speechless. The only thing I can ask from (But only if you are a buyer) is go with me after working hours. But I like the idea of thinking out of a box.
Lakini pia elewa ni wangapi ndugu zetu au rafiki zetu who know how to use these media? Ni kutokana na hivyo they would definately run to the people they think they are in a position to help.