Mark Zuckerberg atangaza kurudi hewani mitandao yake

Mark Zuckerberg atangaza kurudi hewani mitandao yake

wangebaki hivi kwa 3days..

kuna watu wangepata mimba.
kuna ndoa zingepata furaha.
kuna watu wangelala mapema.
Makazini ufanisi ungeongezeka.
kuna watu wangepunguza dhambi.
kuna watu wangelala muda wa kutosha.
nk, nk, nk, nk, nk.
 
Frances Haugen yule dada alikua mfanyakazi wa Facebook naona ndio anamkimbiza jumatatu alikua anahojiwa kuhusu usalama wa Facebook na kudai Mark anajali sana faida kuliko usalama wa watumiaji wake na amekua achukui tafiti za kitalaamu kama madhara kwa watoto wadogo kwenye kutumia Instagram na pia wanasiasa kutoa taarifa za uongo na kutumwa Facebook ngoja tuone hili saga linaishaje...
 
Ukikubali kulipa wanakufahamisha ulipe kiasi gani na namna ya kulipa. Mara nyingi huwafanyia hivi matajiri lakini imeshamtokea Mbongo mdada ambaye tunafahamiana. Alinitumia request ya kuomba urafiki FB nikashangaa kwani namfollow na yeye ananifollow kwa kipindi kirefu. Nikamuuliza ni aje ananitumia friendship request mpya na ilhali tuko pamoja kipindi kirefu ndipo aliponiambia wachina wamempora FB account yake kuondoa jina lake na profile yake na kuweka ya KE wa kichina. Nikaingia kwenye ile account na kukuta kule ndani kila kitu ni cha yule dada wa Kibongo ila jina na profile zote za kichina.
Hii imetokea kwa wengi sana... na baadhi yao tatizo lilitatuliwa kwa ku badili pass code!
 
wangebaki hivi kwa 3days..

kuna watu wangepata mimba.
kuna ndoa zingepata furaha.
kuna watu wangelala mapema.
Makazini ufanisi ungeongezeka.
kuna watu wangepunguza dhambi.
kuna watu wangelala muda wa kutosha.
nk, nk, nk, nk, nk.

Tungehamia Imo,pinterest na mitandao mengine[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom