Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Kapatwa na balaa zito Witty...Mark kawa meekundu ghafla
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapatwa na balaa zito Witty...Mark kawa meekundu ghafla
Aliztumia kuingilia chaguz za bw. Vladmir, wakawapga fine Ila Bado, karbia mwez mzma wanatoa onyo azirekebshe, Langley wakamtia kiburi..kitu kzto kimemshukia kchwan🤯mimi ni mtumiaji wa mitandao pendwa ya mark zuckerberg ila nilifurahi sana kwa kitendo cha whatsapp, facebook na instagram kutoweka hewani na nimenuna kwa mitandao hiyo kurejea mapema hivi.
nilitaka angalau tukae mwezi mzima bila mitandao hiyo ili turudi kwenye maisha yetu halisi ya zamani japo kwa mda.
Ila kwa maelezo ya mark alisema hakukuwa na hacking yeyote ni mitambo yao tu walikuwa wanaweka sawa ndipo ikawa hivyo.
Ila jamaa yeye anasema hakukuwa na hacking.Inasemekana alo sababisha hiyo soo kijana wa kichina 13 yrs ni hacker ( Sin Jiy Sui) ndio jana usiku kafanya vitu vyake any way bora tubadilshe mfumo wa mtandao hii ni hatari sana mitandao mitatu kumilikiwa na mmoja (FB .Insta. na whatssapp) jamani tubadilikeni ni ulevi toshaaa.
Haujui watu jana tumekosa good night huko WhatsAppmimi ni mtumiaji wa mitandao pendwa ya mark zuckerberg ila nilifurahi sana kwa kitendo cha whatsapp, facebook na instagram kutoweka hewani na nimenuna kwa mitandao hiyo kurejea mapema hivi.
nilitaka angalau tukae mwezi mzima bila mitandao hiyo ili turudi kwenye maisha yetu halisi ya zamani japo kwa mda.
Wasiliana na Maxence Melo kwa kumtumia ujumbe binafsi PM mueleze tatizo au tuma email kwenda kwa support@jamiiforums.comMm account yangu ya jf imepotea,nikijaribu login ina kataa ina command nisajili upya ,
Yaan sijui ni wachina wameamua kumuhack[emoji848]Kapatwa na balaa zito Witty...
Huenda kuna kitu ameficha ili asiinekane hayupo sawa kimtandao au huenda hakutegemea alichokuwa akifanya kama kitasababisha kuzima kwa mitambo.Kuweka mitambo sawa inakuwa planned na unawataarifu watumiaji kwamba tunaweka mitambo sawa kwa kipindi flani na wakati huo huduma zinaweza kupata mushkeli.
Huenda kuna kitu ameficha ili asiinekane hayupo sawa kimtandao au huenda hakutegemea alichokuwa akifanya kama kitasababisha kuzima kwa mitambo.
Bit coinHizo pesa zitatumwa au watazipata kwa njia gani bila kuonekana?
ndio vizuri ili kuwepo na ile hisia halisi ya "kumisiana".Haujui watu jana tumekosa good night huko WhatsApp
Inawezekana kuna mambo hayapo sawa... Na hawezi kusema.Yaan sijui ni wachina wameamua kumuhack[emoji848]
Kwani waga wanasema ukweli sasa..!? Ingekua ni schedule ya system maintenances lazima ange alert watumiaji mapema.Ila jamaa yeye anasema hakukuwa na hacking.
Bitcoin ni njia nzuri sana kupitishia pesa za wizi na magendo kwa scammers wa mitandaoni. Hii ni kwa sababu miamala yake ni secured, irreversible & untraceable! Na haina central bank system hakuna anaesimamia wala kuicontrol.Hizo pesa zitatumwa au watazipata kwa njia gani bila kuonekana?