Mark Zuckerberg atangaza kurudi hewani mitandao yake

wangebaki hivi kwa 3days..

kuna watu wangepata mimba.
kuna ndoa zingepata furaha.
kuna watu wangelala mapema.
Makazini ufanisi ungeongezeka.
kuna watu wangepunguza dhambi.
kuna watu wangelala muda wa kutosha.
nk, nk, nk, nk, nk.
 
Frances Haugen yule dada alikua mfanyakazi wa Facebook naona ndio anamkimbiza jumatatu alikua anahojiwa kuhusu usalama wa Facebook na kudai Mark anajali sana faida kuliko usalama wa watumiaji wake na amekua achukui tafiti za kitalaamu kama madhara kwa watoto wadogo kwenye kutumia Instagram na pia wanasiasa kutoa taarifa za uongo na kutumwa Facebook ngoja tuone hili saga linaishaje...
 
Hii imetokea kwa wengi sana... na baadhi yao tatizo lilitatuliwa kwa ku badili pass code!
 
wangebaki hivi kwa 3days..

kuna watu wangepata mimba.
kuna ndoa zingepata furaha.
kuna watu wangelala mapema.
Makazini ufanisi ungeongezeka.
kuna watu wangepunguza dhambi.
kuna watu wangelala muda wa kutosha.
nk, nk, nk, nk, nk.

Tungehamia Imo,pinterest na mitandao mengine[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…