Uchaguzi 2020 Mark Zuckerberg ndiye atakayemwapisha Tundu Lissu?

Uchaguzi 2020 Mark Zuckerberg ndiye atakayemwapisha Tundu Lissu?

Tuliza akili
Unajua kupata kale katoto kamoja kasikufanye usahau wajibu wako wa kutoa chakula cha ndoa!
Hebu muda huo unaandika ungekuwa busy unampa pepeta mzee![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jikite kwenye hoja kamanda acha kuweweseka
Unajua kupata kale katoto kamoja kasikufanye usahau wajibu wako wa kutoa chakula cha ndoa!
Hebu muda huo unaandika ungekuwa busy unampa pepeta mzee![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukipiga kura ya rais kwa Tundu Lissu, ujue unapiga kura ya katiba mpya, ujue unapiga kura kwa rais ambaye atarudisha uhuru na haki za wananchi, ujue unapiga kura kwa rais ambaye hatawasimanga..".Tundu Lissu. #Uchaguzi2020

Achana na takataka za ccm
Wehu sio tuu kuokota makopo.
Nashangaa kusikia swala la Uhuru. Niseme wanaompigia kura Lissu wanataka nchi iuzwe na hawapendi vya kwao. Sisi tunajua ameahidiwa chake huko ughaibuni. Hatutaruhusu hilo litokee Masimango ameyaleta yeye maana hana kipaumbele hata sera za CHADEMA zenyewe anazikataa. Amebeba ubinafsi mkubwa maana kaulimbiu yake anasema ni "yeye kwanza" amepanga kujinufaisha na hapendi kusikia kabisa mawazo ya watu wengine Tundu atatupeleka Tunduni. Hatumpi hiyo nafasi. HAFAI kabisa sio tu kwenye uraisi. HAFAI kuwa kiongozi.
 
Back
Top Bottom