Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Tulia wewe kama hazina nguvu wala uhalisia usingepoteza muda wako kutengeneza hii madaNdugu zangu,
Sasa sio siri tena kwamba kwenye "online polls" zilizoanzishwa Facebook,twitter Instagram na wafuasi wa Chadema na hatimaye kupigiwa kura na wana-Chadema Tundu kapata kura za kutosha,sasa aapishwe ili aanze kupiga kazi kwenye social media.
Wengi wanashangaa atafanyaje kazi twittani?ni rahisi tu kwani ata-tweett na kisha makamanda wata-retweet.
Hoja ni mfumo wa sheria na katiba; Je Mark Zuckerberg atakubalika kumwapisha Tundu?