Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
Una mawazo ya kijima sana mzee.Ndugu zangu,
Sasa sio siri tena kwamba kwenye "online polls" zilizoanzishwa Facebook,twitter Instagram na wafuasi wa Chadema na hatimaye kupigiwa kura na wana-Chadema Tundu kapata kura za kutosha,sasa aapishwe ili aanze kupiga kazi kwenye social media.
Wengi wanashangaa atafanyaje kazi twittani?ni rahisi tu kwani ata-tweett na kisha makamanda wata-retweet.
Hoja ni mfumo wa sheria na katiba; Je Mark Zuckerberg atakubalika kumwapisha Tundu?
Rais wa dunia Donald Trump anaiongoza Marekani kupitia Twitter sasa sijui wewe unaishi shimoni.?
Kwanza huko fb Twitter Instagram ndipo watu walipo siyo maroboti.!