Unajua kupata kale katoto kamoja kasikufanye usahau wajibu wako wa kutoa chakula cha ndoa!Tuliza akili
Unajua kupata kale katoto kamoja kasikufanye usahau wajibu wako wa kutoa chakula cha ndoa!
Hebu muda huo unaandika ungekuwa busy unampa pepeta mzee![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha.. bk 7 !Kama kimeingia chochote kitu basi hakuna tatizo. View attachment 1574905
Wehu sio tuu kuokota makopo.Ukipiga kura ya rais kwa Tundu Lissu, ujue unapiga kura ya katiba mpya, ujue unapiga kura kwa rais ambaye atarudisha uhuru na haki za wananchi, ujue unapiga kura kwa rais ambaye hatawasimanga..".Tundu Lissu. #Uchaguzi2020
Achana na takataka za ccm
Duh umelala huku unasoma?Mnatupigia kelele tumelala bana..