Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Wakati utajiri wa Mark Zuckerbergs unafikia US $ 100 bn utajiri wa Genius Kadungure ulikua kati ya US$ 10-100 million. Vijana hawa walizaliwa mwaka mmoja. Mmoja akiwa mwanzilishi wa Facebook mwingine biashara zake nyingi hazikua zinajulikana.
Genius alimiliki magari ya kifahari na kuishi katika nyumba ya kifahari. Mark Zuckerbergs anaishi maisha ya kawaida sana. Hana mlundikano wa magari. Anatoa sana pesa kusaidia wenye uhitaji.
Waafrika tukipata pesa kidogo huwa tunapenda kuishi maisha ya kuwaonyesha wengine tulivyonavyo. Hao tunaowaonyesha wengi wanaishi maisha ya chini hata mahitaji muhimu wanakosa.