Mark Zuckerberg wa Facebook na Genius Kadungure “Ginimbi” walizaliwa 1984 na wote walikuwa matajiri

Mark Zuckerberg wa Facebook na Genius Kadungure “Ginimbi” walizaliwa 1984 na wote walikuwa matajiri

Pair ya Raba mimi meek Mill mwenyewe nabadili.na Nipo Gogo La Mboto hapa.@Sky Eclat unaniangusha bhanaa
Nimekosea kutoweka aina ya raba anazovaa, kuna raba pair moja ni mtaji wa duka.
 
Pair ya Raba mimi meek Mill mwenyewe nabadili.na Nipo Gogo La Mboto hapa.@Sky Eclat unaniangusha bhanaa
1605980490938.jpeg
 
Inapendeza sana kuna vijana wadogo wanapata mafanikio makubwa katika maisha, hawa ndio wanaishi maisha.
 
nadhani maisha ya Ginimbi yalikuwa sahihi, hata mimi nikipata pesa nitaishi vile kasoro sitoonesha kwenye social media kwa sababu sipendi sana kuonekana na watu
huyo mmiliki wa facebook katokea maisha mazuri hivyo na pengine hana taste ya magari au vitu vya fahari lakini tukumbuke anatumia millions kujirinda, yani mtu yeyote anayetokea maisha ya kimasikini akipata pesa lazima azifurahie mfano mike Tyson alikuwa mtoto wa mtaani asiyeweza kumudu hata chakula lakini alipopata pesa ali spendi hasa,Michael jackson nae amekulia kwenye kijumba kidogo na umasikini mkubwa lakini alipopata pesa choo chake kilikuwa kikubwa kuliko nyumba aliyozaliwa, hata steve jobs alikuwa mzungu lakini alibadili gari za kifahari kila baada ya miezi 6 tu
hivyo basi nahitimisha kwa kusema umasikini unatuathiri sana mimi simshangai mtu kuishi vyovyote vile
Tatizo ni sisi kutaka kumpangia mtu namna ya kutumia pesa yake binafsi, na hili sio sahihi. Tunaacha kufuatilia matumizi ya kodi zetu, tunaanza kuchungulia matumizi ya mtu.
 
Wakati utajiri wa Mark Zuckerbergs unafikia US $ 100 bn utajiri wa Genius Kadungure ulikua kati ya US$ 10-100 million. Vijana hawa walizaliwa mwaka mmoja. Mmoja akiwa mwanzilishi wa Facebook mwingine biashara zake nyingi hazikua zinajulikana.

Genius alimiliki magari ya kifahari na kuishi katika nyumba ya kifahari. Mark Zuckerbergs anaishi maisha ya kawaida sana. Hana mlundikano wa magari. Anatoa sana pesa kusaidia wenye uhitaji.

Waafrika tukipata pesa kidogo huwa tunapenda kuishi maisha ya kuwaonyesha wengine tulivyonavyo. Hao tunaowaonyesha wengi wanaishi maisha ya chini hata mahitaji muhimu wanakosa.

Uyu Ginimbi muda wake ulikuwa bado tu wakujulikana pesa zake anavyozipata kihuni bora kaondoka mapema maana angeenda kuozea jela tena nje ya Africa, utajiri wake utakuwa ni kama wa kina Hushpuppi tu , sema biashara ya Gas ilikuwa ni kuzugia tu
 
Hivi huyo ginimbi alikuwa anajishugulisha na nini

Ova
 
sana sana hawa wasanii wa bongo yaani akiachia single moja tu ika- hit yaani anasahau kuwa kuna kesho, basi ataspend money mpaka basi, mwisho wa siku akiishiwa anatembeza bakuri eg, Mr nice, man fongo, feruz etc sahizi wamechokeana hata pa kulala ni taabu!
 
Wakati utajiri wa Mark Zuckerbergs unafikia US $ 100 bn utajiri wa Genius Kadungure ulikua kati ya US$ 10-100 million. Vijana hawa walizaliwa mwaka mmoja. Mmoja akiwa mwanzilishi wa Facebook mwingine biashara zake nyingi hazikua zinajulikana.

Genius alimiliki magari ya kifahari na kuishi katika nyumba ya kifahari. Mark Zuckerbergs anaishi maisha ya kawaida sana. Hana mlundikano wa magari. Anatoa sana pesa kusaidia wenye uhitaji.

Waafrika tukipata pesa kidogo huwa tunapenda kuishi maisha ya kuwaonyesha wengine tulivyonavyo. Hao tunaowaonyesha wengi wanaishi maisha ya chini hata mahitaji muhimu wanakosa.

Wayahudi husisitiza nidhamu kwenye pesa.

Pia "low profile" ni silaha yao kuu.
 
Back
Top Bottom