Mark Zuckerberg wa Facebook na Genius Kadungure “Ginimbi” walizaliwa 1984 na wote walikuwa matajiri

Pair ya Raba mimi meek Mill mwenyewe nabadili.na Nipo Gogo La Mboto hapa.@Sky Eclat unaniangusha bhanaa
Nimekosea kutoweka aina ya raba anazovaa, kuna raba pair moja ni mtaji wa duka.
 
Inapendeza sana kuna vijana wadogo wanapata mafanikio makubwa katika maisha, hawa ndio wanaishi maisha.
 
Tatizo ni sisi kutaka kumpangia mtu namna ya kutumia pesa yake binafsi, na hili sio sahihi. Tunaacha kufuatilia matumizi ya kodi zetu, tunaanza kuchungulia matumizi ya mtu.
 
Uyu Ginimbi muda wake ulikuwa bado tu wakujulikana pesa zake anavyozipata kihuni bora kaondoka mapema maana angeenda kuozea jela tena nje ya Africa, utajiri wake utakuwa ni kama wa kina Hushpuppi tu , sema biashara ya Gas ilikuwa ni kuzugia tu
 
Hivi huyo ginimbi alikuwa anajishugulisha na nini

Ova
 
sana sana hawa wasanii wa bongo yaani akiachia single moja tu ika- hit yaani anasahau kuwa kuna kesho, basi ataspend money mpaka basi, mwisho wa siku akiishiwa anatembeza bakuri eg, Mr nice, man fongo, feruz etc sahizi wamechokeana hata pa kulala ni taabu!
 
Wayahudi husisitiza nidhamu kwenye pesa.

Pia "low profile" ni silaha yao kuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…