Marks ya chini kabisa ambayo ulishawai pata kwenye mtihani ni ngapi

Kuna siku sitoisahau teacher wa geog aligawa peper za wanafunzi wote class yangu ikawa ya mwisho mwisho
Akanambia
"Lucas you are lazy bastard" mbele ya crash nili mmind mno nikamfata ofisini nikamchana

Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa ya waalimu Kama hao mkuu wakomoe saiv pambana adi ukikutana nae aone alkosea mkuu, Mimi o level nilkua spend kunyoa kabsaa Sasa kuna tcha alkua ananionea Sana kila tukikaguliwa ananipiga mkasi tena kwa chini chini Sana ili anikomoe tuu saiv nimefuga rasta ili na Mm nimkomoe [emoji1] [emoji2]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Teh teh teh[emoji23] umetisha mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Civics form 3; What are merits and demerits of mass media in Tanzania?

- Merits, demerits na mass media sijui hata kimoja kina maanisha nini, ila nilijaza page 2 kwa mwandiko mzuri.

- Nilipata 5 out of 100% ya neatness.

Mid term test swali moja tu.
 
Nilipata 0 mtihani wa stadi za kazi darasa la kwanza....mtihani ulikuwa kuchora picha ya mtu ila mimi nilichora ngongoti mwenye macho na mdomo kama bundi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chuo mwaka wa pili kuna somo linaitwa Media Law nilipata 1.7 lakini nilikuwa nimefaulu sana sababu maksi nyingi zilirange kwenye 0 mpaka 1 na wa kwanza alipata 1.9[emoji2][emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ambao hatukubahatika kwenda shule ngoja tupite kimya....
 
zero nlikutana nayo chuo kikuu kwa mara ya kwanza na mwl akanitaja class waliopata zero.....bahati nzuri ckuwepo nlichelewa kuingia kwahiyo naingia ndio watu wananicheka mm cjui nn kinaendelea....hahaha cwezi sahau cku hyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah ctosahau siku ya interview darasa la kwanza,sikuona nilichokijua vyote vigeni.kuna katoto ka kike nilikua nae akanionesha majibu.ila nikanza la 1 kwa kuhonga. Ckupata ata 0 .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…