Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
24 hrs [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji40] [emoji40]Mi nilindika jina la mwalimu wa hilo somo mtihan wenyewe ulikuwa ni mathe nilpata 24
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
24 hrs [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji40] [emoji40]Mi nilindika jina la mwalimu wa hilo somo mtihan wenyewe ulikuwa ni mathe nilpata 24
uyo jamaahajasoma oysterbay kweli sec akasoma feza school?sitokuja kumsahau jamaa anaitwa Cliford gomera... huyu jamaa alinipa zero ya Accounting for managers...
😀😀😀😀😀😀test yang ya kwanza physics advance nligonga saba dadeki hio ndio siku ambayo nlianza kuishi kama bundi
Dawa ya waalimu Kama hao mkuu wakomoe saiv pambana adi ukikutana nae aone alkosea mkuu, Mimi o level nilkua spend kunyoa kabsaa Sasa kuna tcha alkua ananionea Sana kila tukikaguliwa ananipiga mkasi tena kwa chini chini Sana ili anikomoe tuu saiv nimefuga rasta ili na Mm nimkomoe [emoji1] [emoji2]Kuna siku sitoisahau teacher wa geog aligawa peper za wanafunzi wote class yangu ikawa ya mwisho mwisho
Akanambia
"Lucas you are lazy bastard" mbele ya crash nili mmind mno nikamfata ofisini nikamchana
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh teh[emoji23] umetisha mkuuDawa ya waalimu Kama hao mkuu wakomoe saiv pambana adi ukikutana nae aone alkosea mkuu, Mimi o level nilkua spend kunyoa kabsaa Sasa kuna tcha alkua ananionea Sana kila tukikaguliwa ananipiga mkasi tena kwa chini chini Sana ili anikomoe tuu saiv nimefuga rasta ili na Mm nimkomoe [emoji1] [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi yule kipanga aliyekataa mshahara wa million 400 kwa Trampo yuko wapi Tz na anafanya nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
uyo jamaahajasoma oysterbay kweli sec akasoma feza school?