Marlaw: Sina mpango wa kushiriki kampeni za kisiasa tena

Marlaw: Sina mpango wa kushiriki kampeni za kisiasa tena

babalao 2

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
5,423
Reaction score
3,297
attachment.php

Msanii aliyepata kuvuma sana kabla ya mwaka 2010 alimaarufu kwa jina la Marlaw, amejutia uamuzi wake wa kukipigia kampeni chama cha ccm kwani kimemporomosha kimuziki.

"Unajua mimi mwaka 2010 nimeburudisha ktk kampeni za ccm lakini nimeambulia kushuka kimuziki sijui ni siasa imehusika au la kwa sababu toka hapo nimetoa nyimbo nyingi lakini hazivumi tena, sasa sitaipigia ccm tena labda chama kingine si unajua vijana wako wapi mzee ha ha haaa si kwamba nimejitoa ccm hapana mi ni msanii naburudisha watu wote"

Mwananchi lilipotaka kujua ni chama gani amekilenga kukipigia kampeni kwa malipo alisema bado muda wa kukiweka hadharani.

Wasanii someni alama za nyakati msije jikuta mko njia panda kimuziki huu ni mfumo wa vyama vyama vingi.

Marlow.jpg
 
Attachments

  • 1391241818275.jpg
    1391241818275.jpg
    67.2 KB · Views: 12,683
Weka picha mkuu stori za kutunga tumezichoka kabisa acha umbea mkuu hauna posho kabisa.
 
Amekopwa tu huyo hana lolote, anatumia njia a kijanja ili apewe pesa kama Zana Za Kilimo. vijana wa upande huu hatumtaki akae huko huko, hana hadhi ya kuwa nasi, ni kama Nakaya tena yeye ni mbaya zaidi maana ni mwanaume
 
Nlkuwa namkubar sana huyu jamaa bt kwa sababu ya ccm huwa ctak hata kumuona
 
Hii ndio tatizo la njaa,unajikuta unaegemea upande mmoja na baada ya muda mfupi utahitaji support ya wrote,bora uwe neutral,sio yeye pekee hata tmk nao matatizo
 
Akili mgando tuliwashauri sasa wanakumbuka shuka asubuhi hahaha mizigo imikufanya mzigo pole dogo
 
Tatizo sio siasa,tatizo ni upande aliochukua.....anashabikia chama kinachopoteza mvuto.
Akome!
 
Hii ndio tatizo la njaa,unajikuta unaegemea upande mmoja na baada ya muda mfupi utahitaji support ya wrote,bora uwe neutral,sio yeye pekee hata tmk nao matatizo

Kwa hali ya siasa ilivyo sasa lazima msanii uchague fungu bora maana ccm na cdm ni mpambano wa masikini na mafisadi, Vijana na Wazee hvo kimuziki hapo ni kuangalia washabiki wako wako upande upi.
 
Aaache uzuzu bhana!!!!
Yaani siasa ndio zimemshusha???!!!

Mbona afande sele ni CDM kimziki yuko wapi????!!!!
 
Kwa hali ya siasa ilivyo sasa lazima msanii uchague fungu bora maana ccm na cdm ni mpambano wa masikini na mafisadi, Vijana na Wazee hvo kimuziki hapo ni kuangalia washabiki wako wako upande upi.

Una mifano ya uhusiano wa mwanamuziki na mafanikio au kuanguka na uhusiano wa chama cha kisiasa??????
 
Kweli majuto ni mjukuu. Imekula kwake, ni tabia ya CCM kuwatumia watu kama Condom...
 
Una mifano ya uhusiano wa mwanamuziki na mafanikio au kuanguka na uhusiano wa chama cha kisiasa??????

Mkuu mfano wa nn ilihali wametoa ya moyoni kwamba wametengwa na washabiki.
 
Tatizo sio siasa,tatizo ni upande aliochukua.....anashabikia chama kinachopoteza mvuto.
Akome!

Hivi watu kama Mzee Yusuph, Ngwasuma, Twanga, Diamond na wengine wenye mafanikio ni wa vyama gani????!!!!
 
Aaache uzuzu bhana!!!!
Yaani siasa ndio zimemshusha???!!!

Mbona afande sele ni CDM kimziki yuko wapi????!!!!
Afande Sele alikuwa CCM na mwaka 2010 iliipigia kampeni sana CCM. Ni juzi tu alihamia CHADEMA baada ya kuona game ya Muziki imemkataa.

Nahisi kuna uhusiano mkubwa sana kati ya CCM na nuksi za maisha kwa watu wengi.
 
bado haja funguka fresh! ngoja kwanza kidogo apigike na U-CCM wake. Dhambi kubwa mno.
 
Back
Top Bottom