Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,233
- 8,022
!
!
kachelewa mno
!
kachelewa mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi watu kama Mzee Yusuph, Ngwasuma, Twanga, Diamond na wengine wenye mafanikio ni wa vyama gani????!!!!
Umesikika Marlaw.. jamaa atakuboreshea maslahi hawatakubali uipigie Chama kingine kampeni![]()
Msanii aliyepata kuvuma sana kabla ya mwaka 2010 alimaarufu kwa jina la Marlaw, amejutia uamuzi wake wa kukipigia kampeni chama cha ccm kwani kimemporomosha kimuziki.
"Unajua mimi mwaka 2010 nimeburudisha ktk kampeni za ccm lakini nimeambulia kushuka kimuziki sijui ni siasa imehusika au la kwa sababu toka hapo nimetoa nyimbo nyingi lakini hazivumi tena, sasa sitaipigia ccm tena labda chama kingine si unajua vijana wako wapi mzee ha ha haaa si kwamba nimejitoa ccm hapana mi ni msanii naburudisha watu wote"
Mwananchi lilipotaka kujua ni chama gani amekilenga kukipigia kampeni kwa malipo alisema bado muda wa kukiweka hadharani.
Wasanii someni alama za nyakati msije jikuta mko njia panda kimuziki huu ni mfumo wa vyama vyama vingi.
Huyo jamaa analalamika nini wakati ana mgao wa buku 7 pale Lumumba kila siku kwa mkataba wa miaka 5(2010-2015)Msanii aliyepata kuvuma sana kabla ya mwaka 2010 alimaarufu kwa jina la Marlaw, amejutia uamuzi wake wa kukipigia kampeni chama cha ccm kwani kimemporomosha kimuziki. "Unajua mimi mwaka 2010 nimeburudisha ktk kampeni za ccm lakini nimeambulia kushuka kimuziki sijui ni siasa imehusika au la kwa sababu toka hapo nimetoa nyimbo nyingi lakini hazivumi tena, sasa sitaipigia ccm tena labda chama kingine si unajua vijana wako wapi mzee ha ha haaa si kwamba nimejitoa ccm hapana mi ni msanii naburudisha watu wote" Mwananchi lilipotaka kujua ni chama gani amekilenga kukipigia kampeni kwa malipo alisema bado muda wa kukiweka hadharani. Wasanii someni alama za nyakati msije jikuta mko njia panda kimuziki huu ni mfumo wa vyama vyama vingi.![]()
safi sana...CCM ni shombo..mbaya zaidi hana wa kumdai kwani aliyemshawishi pengine hayupo tena ktk chat..bila kujali km kijana kapokea chake au alahBaada ya watu kuweka hadharani account za ccm zikiwa hazina kitu watu wameingiwa woga
haha..mwigulu anakwenda ongea na wa wafanyabiashara ili akawatishe watoe hela bila hivyo anawatuma TRA...Baada ya watu kuweka hadharani account za ccm zikiwa hazina kitu watu wameingiwa woga
mbona diamond bado yuko juu..huyu kilaza asitafute mchawi,,mziki umemshinda anataka kukimbilia kwenye chama cha wahuni kama afande sele...anataka kugombea ubunge huyu