Marlaw: Sina mpango wa kushiriki kampeni za kisiasa tena

Marlaw: Sina mpango wa kushiriki kampeni za kisiasa tena

haha..unasema bn1 ndio hela yake..wachaga wangapi wana zaidi ha hizo bn..ktk kila mji na wilaya tz...? hiyo hela hata wauza spear wanaoonekana kuwa wadogo tuu wanayo, wauza viatu na nguo za kichina wananunua viwanja kila siku kwa bei hiyo achilia mbali kuvijenga.

kubwa jinga we..!
 
Marlaw hapo unamtafuta mchawi tu,hakuna mahusiano ya mziki na kuporomoka kwako kimuziki.So wimbo gani mkali uliotoa ulitaka u-hit,MBAYUWAYU ama?Huo Mbayuwayu unaweza ufananisha na Bembeleza?Kaza kaka bado hujachekewa ila ujipange,huu mziki sahivi watoto wanahasira sana na pesa so hawakosei,wanahakikisha kila ngoma inayokuja inalingana or inamzid aliyepita.So jitahid uende sambamba na hawa watoto; Diamond,Dimpoz,Mavoco,Ben Paul,Barnabas,etc ili usimtafute mchawi
 
Tena Marlaw ujitahid sana urud kwenye chati ili yule mtoto mwenye inye ya uhakika (besta) asije akakukimbia
 
Nani anataka kufa na CCM ?

Hawa wamekubali kufa nayo. Tuwatakie mapumziko mema ya milele.
ImageUploadedByJamiiForums1391346396.426327.jpg
 
Na hii clip ndio imeua kabisa...

Liwe funzo kwa wengine...

Hata wakati wa Mabutu kuna watu waliamua kutimkia Belgium kwa kuwa waliimba nyimbo za kumpinga...lakini baadae mabadiliko yalipokuja wakapewa hadi uwaziri...

Vijana inabidi mfikiri long-term benefits na si pesa ya ugali tu...

Sina maana kuwa CCM au CHADEMA ni bora...ila mwanamziki anapata heshima akiwa ni reformist...kukosoa serikali iliyopo madarakani badala ya kuipamba kwa mapambio...ili serikali ipate ujumbe ambao watu wa kawaida hawajapata fursa ya kuufikisha...

Kuna vijana wanachana mistari vibaya sana...japo mi si mpenzi wa hip hop lakini najikuta nafuatilia message...

message za kwenyw hip hop najikuta tu nazijua
binti yangu kuna siku alishangaa nilivokuwa naghani 2030 ya Roma Mkatoliki
!!
wanatuliza akili kwa kweli!
 
Kama leo hajapelekwa mbeya avizie nafac ya kutoa vibao vya chama kipya cha Zitto
 
message za kwenyw hip hop najikuta tu nazijua binti yangu kuna siku alishangaa nilivokuwa naghani 2030 ya Roma Mkatoliki !! wanatuliza akili kwa kweli!
ROma mkatoliki ni noma....
 
Hawa wasanii wetu...they dont think abt tomorow so let them feel the quencequenses of the next day....msoto anao pitia leo ndo msoto wa vijana wengi nchini.. ..ni wakati wa yeye kuonja joto ya jiwe.
 
kisingizio tu..

aseme tu 1 kwa 1 kwamba amefulia kimziki na sio kusingizia siasa!
 
kawaida kupanda na kushuka ndio habari ya mijni mimi aminia marlaw kaza we angalia mkwanja siasa mchezo mchafu we ccm poa cdpoa ilimrdi mkwanja mzuri
 
ooopppsss so usiniambie uliacha kumsikiliza kwa kuwa alijiengage kwenye siasa mchezo mchafu haaaaaaaaahaaaaaaahaaaaaaaaa obviously you made me laugh louder.
Nitaanza tena kusikiliza miziki yake...
 
Back
Top Bottom