Marlaw: Sina mpango wa kushiriki kampeni za kisiasa tena

Marlaw: Sina mpango wa kushiriki kampeni za kisiasa tena

Huyu anasema tu, LOWASA akishachukua nafasi ya kugombea na kumtangazia dau atalainikatu. Nyie ngojeni.....
 
Amevuna alichopanda ! Kwani hakujua kwamba kuipigania ccm ni sawa na kumtukuza MWOVU SHETANI ? imekula kwake , M/MUNGU KISHAFANYA YAKE , NDIYO BASI TENA !
 
Katika vijana niliokua nawategemea kwenye tadhinia ya Bongo Flavor ni huyu kijana lakini Nduli Nape alimpoteza!

Marlow.jpg
 
...na yule Flora Mbasha nilikuwa namkubali sana, lakini baada ya kuona anarukaruka na CCM kila nikiona nyimbo zake sizipendi tena.

Wala usikonde kamanda , mbona naye kishaanza kupumulia mashine ! Kila msanii aliyeshiriki ujinga wa ccm anapaswa kutubu na kuomba radhi tena hadharani , vinginevyo atajikuta anaibiwa hata zile fulana za kijani alizogawiwa bure !
 
Nilimpga chini mda mref. Vijana maisha magm yeye analeta p!p!. Tena kamtilia mkosi hata KIGWEMA NA WIMBO WENYE UJUMBE MZURI SANA.
 
Mbona diamond alishiriki kampeni na sasa anafanya vizuri sana tena ni miongoni mwa mwana muziki mwenye mafanikio makubwa kuliko yeyote Tanzania kwa sasa!

Marlow tafuta sababu nyingine! Yaani unataka kusema Afande Selle mfalme wa hip hop ameporomoka baada ya kujiunga na CDM? The answer is Big NO!

Afande Selle weed ndio imemponza hata Prof Jay ni sababu ya competition toka kwa vijana!
 
Marlow under globalization one need to be firm, competitive, dynamic and always be a winner and not a looser!

Once you are a looser no one to be blamed because you've failed to compete!
 
Bahati mbaya CDM hatunaga burudani za music, pale burudani ni facts safi mwanzo mwisho.
 
Tatizo la wasanii wetu wengi ni njaa inawasumbua. Ukitaka kuheshimika katika jamii kama msanii usifungamane na upande wowote wa kisiasa. Fanya shughuli zako za usanii na tegemea reziki yako toka huko. Ukijiingiza kwenye siasa fahamu wazi umeshaziba masikio ya baadhi ya wapenzi wako. Ili uwe salama usishabikie upande wowote wa kisiasa wewe jitahidi kuwapata mashabiki toka kambi zote za kisiasa na mambo yatakuendea vema.
 
miaka ya nyuma nilikuwa nawawazia sana wasanii wetu, nilikuwa nawaona kwa TV na hata kuwasikiliza kwa radio mbali mbali wakilalamika kuhusu kazi zao kuibiwa na ingawa wanawasilisha malalamiko yako serikalini kupita BASATA ila serikali bado inafumbia macho na wala haiwasaidii. ila kipindi cha kampeni unaskia wakizunguka na wanasiasa na hata nyimbo zao zinazopendwa wanazibadili na kidogo na kukipaisha chama tawala, nikawa nasema kwa nini WASIKATAE kwa nini serikali inawatafuta kipindi cha kampeni tu na baada ya hapo inawaacha wanaibiwa kazi zao na wala haiwainui wafuraie matunda ya kazi zao. ila sasa nashukuru marlaw ametokea na ameongea kwamba uchaguzi ujao hataki shobo na wanasiasa hivyo wamuache. i wish kama wasanii wengine wakafuata njia ya ndg marlaw, umwamba umwamba unamwaga mboga nami natupa ugali.
 
kwani hawamlipi pale lumumbani? tatzo dogo hakuwajua wabongo kuwa hawapendi ishu zake za kushabikia hicho chama cha majangiri
 
Marlwa; naipenda CCM kimapenzi sio Pesa

 
Last edited by a moderator:
Hahaa ngwasuma timu ya taifaaaa...hatare wajameni sikilizeni machereografe yanasumbuaga maana mimbo ni za kitambo sana ...elombe kichinjaaa

Wewe tunaongea lugha moja Kigogo yaani uache kwenda na kununua utamu wa vanila,sumbungengi,Anna,Kizimungala eti sababu za kisiasa aaaaanh wapi!!!!!!!

Dogo gemu imegoma ajipange tu hivi wale masela wanaokuwaga mikutanoni ni wangapi watatoa 5000 kununua CD ya mwanamuziki kwa msukumo wa kisiasa?????!!!!
 
Last edited by a moderator:
Nimejikuta nacheka badala ya kumsikitikia...mimi mwenyewe niliona kijana kama ajapewa mshiko wa kumtoa baaasi...maana ameshaua mziki kuuchanganya na politics


Na alichoharibu ni kutumia mziki wake ulo hit kuubadili maneno na kupigia kampeni...mimi alinifanya niuchukie huu wimbo...mpaka nilipoona hii video ya wazungu mapenzi yakarudi


 
Na hii clip ndio imeua kabisa...

Liwe funzo kwa wengine...

Hata wakati wa Mabutu kuna watu waliamua kutimkia Belgium kwa kuwa waliimba nyimbo za kumpinga...lakini baadae mabadiliko yalipokuja wakapewa hadi uwaziri...

Vijana inabidi mfikiri long-term benefits na si pesa ya ugali tu...

Sina maana kuwa CCM au CHADEMA ni bora...ila mwanamziki anapata heshima akiwa ni reformist...kukosoa serikali iliyopo madarakani badala ya kuipamba kwa mapambio...ili serikali ipate ujumbe ambao watu wa kawaida hawajapata fursa ya kuufikisha...

Kuna vijana wanachana mistari vibaya sana...japo mi si mpenzi wa hip hop lakini najikuta nafuatilia message...


Marlwa; naipenda CCM kimapenzi sio Pesa

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom