Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,296
- 3,398
Mbona ngwair 2005 alimpigia kikwete kampeni na hakushuka na alijiita mtoto wa jakaya??,yy tu aliporomoka kimziki basi ntng else
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona diamond alishiriki kampeni na sasa anafanya vizuri sana tena ni miongoni mwa mwana muziki mwenye mafanikio makubwa kuliko yeyote Tanzania kwa sasa!
Marlow tafuta sababu nyingine! Yaani unataka kusema Afande Selle mfalme wa hip hop ameporomoka baada ya kujiunga na CDM? The answer is Big NO!
Afande Selle weed ndio imemponza hata Prof Jay ni sababu ya competition toka kwa vijana!
Unajua kuna utofauti kati ya mafanikio na umaarufu?
Weka picha mkuu stori za kutunga tumezichoka kabisa acha umbea mkuu hauna posho kabisa.
diamond ana zaidi ya 1 billion kwenye account yake.! hayo sio mafanikio?
Hahahaaa ...!!! Diamond ana zaidi bilioni 1???!!! Kazi kweli kweli, na ndiyo maana maisha ya wasanii wa bongo ni duni. Wasanii wa bongo wana safari ndefu sana ya mafanikio
kwa hiyo 1 billion kwako ni ndogo sana eeeh...we una sh. ngapi? umevurugwa wewe
Nimevurugwa kivp?! Kisa cha 1billion? It seems umekaa kipambe mno. Unataka ujue mimi nina sh. ngapi ili iweje?!
We nyoro kweli wewe
Kuna simu mamako atakwambia anaumwa tumbo utamwambia weka picha
acha wivu dada..wewe na ukoo wako wote kwa pamoja hamuwezi kufikia hata robo ya mafanikio ya diamond.
Tatizo sio siasa,tatizo ni upande aliochukua.....anashabikia chama kinachopoteza mvuto.
Akome!
Mafanikio gani....hayo?acha wivu dada..wewe na ukoo wako wote kwa pamoja hamuwezi kufikia hata robo ya mafanikio ya diamond.
Mafanikio gani....hayo?
haha..unasema bn1 ndio hela yake..wachaga wangapi wana zaidi ha hizo bn..ktk kila mji na wilaya tz...? hiyo hela hata wauza spear wanaoonekana kuwa wadogo tuu wanayo, wauza viatu na nguo za kichina wananunua viwanja kila siku kwa bei hiyo achilia mbali kuvijenga.we mburura wa kichagga na wachaga wote hamuwezi kufikia mafanikio ya diamond
haha..unasema bn1 ndio hela yake..wachaga wangapi wana zaidi ha hizo bn..ktk kila mji na wilaya tz...? hiyo hela hata wauza spear wanaoonekana kuwa wadogo tuu wanayo, wauza viatu na nguo za kichina wananunua viwanja kila siku kwa bei hiyo achilia mbali kuvijenga.