Marley Dollars $$ kijana anayetingisha Bongo kwa Mandinga makali

Marekani kila kitu kipo kwenye system ni rahisi kupata finacial data za mtu yeyote ila afrika ni hear say tu hakuna credibility. Kama mo dewji siamini kama ana hela zaidi ya bkhressa nahisi anawalisha ndimu forbes afrika ili apate mikopo benki kubwa.
 
From what I see. Biashara ya madini Aina ya RUBY, ambayo yanapatikana huko MOZAMBIQUE.
Biashara ya madini ya RUBY kutoka MOZAMBIQUE ndio iliyo mtoa.
Mzee unatufanya wote ni WAKOLOMIJE? Ruby gani impe utajiri wa namna hiyo? Hivi umeona kmpani ya huyo unayesema anafanya biashara ya RUBY? Washikaji wake wengi ni watu wabongo ambao wapo South na ukiwafatilia hao washikaji zake wa south unawaona wanasafiri sana kwenda china na hawajawai hata kuweka wazi huko china wanaenda kufanya nini lakini instagram wanweka wapo china,mapicha kibao kwenye ndege na malls za china,HUYO NI MUUZA NGADA tu.
 
Sio wote unaweza wajua. Mchizi wangu mmoja yuko huko na anapiga ishu hizo na sio moja ya hayo makabila.
Msumbiji hakuna muuza madin wa hivyi kutoka tanzania wauza madin wa musumbiji wote nawajua na ni wasukuma, wanyakusa na mpale mmoja
 
Afrika mambo yanaenda kienyeji sana. Na ndio maana hata takwimu zetu zimajaa magumashi tu na walakini mwingi.

Mimi hata zile report zinazokuja humu eti zinaonyesha uchumi wa Tanzania uankuwa kwa kasi, sijawahi kuamini hata siku moja kama kweli zinatoka IMF, na hata kama zinatoka IMF basi data collection wanakuwa wanafanya wabongo wenyewe hivyo hao IMF wanalishwa matango pori.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…