nduza
JF-Expert Member
- Feb 7, 2019
- 1,595
- 2,503
Huu ni uchawi wa grade broHizo ndinga ni za ukweli sana,
Sasa na ukwasi wote huo,huyu jamaa ni nani?anafanya nini?kumiliki magari sio hoja,hata Mo Dewji anayo,tofauti ni kwamba Mo ni mfanyabiashara mzawa,anayetoa ajira kibao kwa wananchi.
Sasa huyu "dollars" yeye anafanya nini kwa jamii?
Amepitia wapi kupata huo ukwasi?maana MTU kama Masanja mkandamizaji,au joti,au Diamond,tunajua walipotoka,huyu kaibukia wapi?
Hapo alipo sidhani kama ana miaka hata 35,sasa kama ujapewa ulithi! Au hujaiba,mpaka unamaliza shahada ya kwanza una miaka 27,sasa kuweza kupata ajira na umiliki hizo Mali,kwa miaka 8,ni ngumu,may be,kama alipomaliza akaajiriwa Ikulu,au UN!!
Kapata wapi mali!amefanya nini kijana mwenzetu na sisi tuige!
Siku hizi hatushoboki sana na ma "bling bling" kama hayo,tuna "admire tu" then tunaendelea na maisha yetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app