mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Mfanyabiashara tu wa madini[mention]mrangi [/mention] njoo mkuu unieleze hili chaka limekuaje?
Nishakutana naye mtopwesh
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfanyabiashara tu wa madini[mention]mrangi [/mention] njoo mkuu unieleze hili chaka limekuaje?
kuna dem nimepiga sana kinyerez huko naona kalike kila picha ya jamaa, atakuwa kamla....Naona mpenzi wangu ka-like picha ya mwana, safi tutafika tu.
Mfanyabiashara tu wa madini
Nishakutana naye mtopwesh
Ova
Sahihi mkuu, japo hamfikii ginimbi hata nusuHuyu jamaaa ananikumbusha maisha ya 𝐆𝐈𝐍𝐈𝐌𝐁𝐈 , 𝐈𝐕𝐀𝐍 𝐃𝐎𝐍, 𝐇𝐔𝐒𝐇𝐏𝐀𝐏𝐈, 𝐊𝐈𝐍𝐆 𝐆𝐊 𝐒𝐇𝐎𝐏𝐀 [emoji1487] tutafute pesa aiseee [emoji1488]
Hawa watu walitamba sana enzi za JK wakishirikiana na Ridhiwani na sasa wanarudi upyaa huku wakichekelea bafuni kama hawana akili vile🤔
Atu au?kuna dem nimepiga sana kinyerez huko naona kalike kila picha ya jamaa, atakuwa kamla....
Piga kazi jomba acha kuwaza ujinga kila siku!! Wenzako akaunti zinaendelea kusoma wakati unawaza kwamba kila mtu mpigaji
Hawa watu walitamba sana enzi za JK wakishirikiana na Ridhiwani na sasa wanarudi upyaa huku wakichekelea bafuni kama hawana akili vile[emoji848]
Km ulikuwepo, iko ivi baada ya Miaka miwili kazini!! Jamaa angu bana, kajibanaaa!!! akanunua ka suzuki Carry!! kamoja! Bana!! akiwa kazini..... maweeee!! kupitia mkewe akasema kwa Ma boss!! chupi zikawabana!! walinuna haoooo!! hkn hata cha salamuuu!!......Asiposepa anajitafutia matatizo.
Km ulikuwepo, iko ivi baada ya Miaka miwili kazini!! Jamaa angu bana, kajibanaaa!!! akanunua ka suzuki Carry!! kamoja! Bana!! akiwa kazini..... maweeee!! kupitia mkewe akasema kwa Ma boss!! chupi zikawabana!! walinuna haoooo!! hkn hata cha salamuuu!!......
kumkomesha dogo wakamkatia kam- shahara kao na marupurupu km yooote!....kwa kisingizio cha kijinga kabisaa!..ukiiona hivi unajua ni wivu tu wa kijinga! wenye asili ya familia za kimaskini!!
Kuumbe dogo alikuwa na source nyinyinge tofauti na kazini!!.....walipo muweka Bench!!! ndiyo dogo kazidisha Mbwembwe!! akaanza kivyake Mara ya mwisho nimekutana nae Sydney amebadirika kawa whiteeeee!!! jua la bongo tena halimchomi km mwanzo!
Waswahili wana hila! tena zinaanzia nyumbani mwako..... hasa kwa Jiwe zilizidi mnooo!! wabongo mna safari ndefu sana! nawambieni kila siku hameni Bongo hamtaki...ooh!! nara nyumbani ni nyumbaniiii!! hayaaaa!
hahaha gatyAtu au?
Naona mpenzi wangu ka-like picha ya mwana, safi tutafika tu.
Kama sio kuuza unga,atakua jambazi huko south,na kwa utawala huu huenda hayupo nchini alishakimbia tayari
Kabisa mkuu yaani?? Roho mbaya kusema kweli haifai!!..... saaana wataishia aibu tu!!....tena mara nyingi wakishindwa kukubania na weye ukatusua huwaga wanakukimbia ile mbaya!! wakisikia umekuja likizo wanajifungia ndani ndiiii!!.... huwaoni!Me huwa sielewi kma kuwa maskini kunatokana na roho mbaya au mtu anazaliwa tu na roho ya umaskini,
Aiyebarikiwa kuwa navyo amebarikiwa tu hata umewekee miiba ataruka tu na unaendelea kubakia hapo hapo na liroho lako libaya,
Enzi za magu watu wamelishwa matango pori haswa,
Kumbe chotera hujaacha uuzaji unga?Acha ufwetere wewe pambana upate njuruku zako maisha yaendelee
post ya 2018 hii mzee ... mond alikua bado hajashusha roziApo magali yenyew ya bei poa tu mond ana ile royce na zile zinhine mbili x6 na ma v8 3 na vigari vidogo vya kutosha mondo bado mtu sana mzee acha chuki