D
Deleted member 485868
Guest
Huyu kaka anaishi mbezi ya chini hivi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kumdangia shem?Huyu kaka anaishi mbezi ya chini hivi?
[emoji3][emoji3] hapana shem..maisha ya mandinga siyawezi mieUnataka kumdangia shem?
Si anakupa hata trekta moja kwa ajili ya kilimo[emoji23] [emoji23][emoji3][emoji3] hapana shem..maisha ya mandinga siyawezi mie
Marekani kila kitu kipo kwenye system ni rahisi kupata finacial data za mtu yeyote ila afrika ni hear say tu hakuna credibility. Kama mo dewji siamini kama ana hela zaidi ya bkhressa nahisi anawalisha ndimu forbes afrika ili apate mikopo benki kubwa.Hao Forbes Africa nao ni kama ccm tu!! Takwimu zao huwa ni za kukaanga kisha wanatubandikia kwenye li website lao pumbavu zao!!
Eti juzi naangalia list ya promising entrepreneurs 2018 mara namuona Idriss Sultan nae ndani, eti wanasema ana networth ya $400,000 alafu mwaka Jana tu pekee yake amaingiza zaidi ya $70,000 kupitia ile brand yake ya viatu iliyoifungua yeye na Wema sepetu. Sijui taarifa zao huwa wanatoa wapi
Kiukweli hao forbes africa ni wataalamu wa kufanya assumptions kuliko hata TRA.
From what I see. Biashara ya madini Aina ya RUBY, ambayo yanapatikana huko MOZAMBIQUE.
Mzee unatufanya wote ni WAKOLOMIJE? Ruby gani impe utajiri wa namna hiyo? Hivi umeona kmpani ya huyo unayesema anafanya biashara ya RUBY? Washikaji wake wengi ni watu wabongo ambao wapo South na ukiwafatilia hao washikaji zake wa south unawaona wanasafiri sana kwenda china na hawajawai hata kuweka wazi huko china wanaenda kufanya nini lakini instagram wanweka wapo china,mapicha kibao kwenye ndege na malls za china,HUYO NI MUUZA NGADA tu.Biashara ya madini ya RUBY kutoka MOZAMBIQUE ndio iliyo mtoa.
Msumbiji hakuna muuza madin wa hivyi kutoka tanzania wauza madin wa musumbiji wote nawajua na ni wasukuma, wanyakusa na mpale mmoja
Afrika mambo yanaenda kienyeji sana. Na ndio maana hata takwimu zetu zimajaa magumashi tu na walakini mwingi.Marekani kila kitu kipo kwenye system ni rahisi kupata finacial data za mtu yeyote ila afrika ni hear say tu hakuna credibility. Kama mo dewji siamini kama ana hela zaidi ya bkhressa nahisi anawalisha ndimu forbes afrika ili apate mikopo benki kubwa.
hahahaNaona mpenzi wangu ka-like picha ya mwana, safi tutafika tu.
South Africa jimbo la Gautengmbona hizo plety number siyo za nchi hii
hahahaha umenichekesha sanaUyo ni wewe nini mbona nimemsachi insta naona makapuku tuu
I knw the guy,Kama sio kuuza unga,atakua jambazi huko south,na kwa utawala huu huenda hayupo nchini alishakimbia tayari
Zoisite vp huko mundalalaI knw the guy,
Ni mfanyabiashara wa madini ametokea kwenye issue ya madini not otherwise,
Nikikutana nae Arusha, mundalala na sehemu inaitwa Kitwa huko Manyara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ungetaja tu Tanzanite. Hivi ile degree ya geology ushamaliza?
Duh pole sanaSi ungetaja tu Tanzanite. Hivi ile degree ya geology ushamaliza?