Hii ndy zoisiteSi ungetaja tu Tanzanite. Hivi ile degree ya geology ushamaliza?
Tanzanite. Tanzanite is the blue and violet variety of the mineral zoisite (a calcium aluminium hydroxyl sorosilicate), caused by small amounts of vanadium, belonging to the epidote group.Hii ndy zoisite
Hao wanao chkua degree nawapa elimu kila leo...usipende kubisha vitu jifunze kuelewa
Na kufa hamu
Ova
View attachment 1063241
Sent using Jamii Forums mobile app
Z
Nichalii wa Arusha ,anafanya biashara ya mawe hasa rubyAnapiga mishe gani kwanza??
Dogo kwa mrangi swala la mawe atakuua ni mkali sanaZ
Tanzanite. Tanzanite is the blue and violet variety of the mineral zoisite (a calcium aluminium hydroxyl sorosilicate), caused by small amounts of vanadium, belonging to the epidote group.
Pole sana pia mkuu. Najua nlichokiandika.
Mkuu naamini hunijui na pia tulikuwa hata hatubishani. Kama umeona nlivyomjibu mara ya kwanza ilikuwa ka utani vile. Yote tisa kumi,sie huwa tunasema mawe hayaongei yanahitaji mtu kuyatambua so kama Mrangi mkali hongera zake.Tunahitaji watu kama hao Tz.Dogo kwa mrangi swala la mawe atakuua ni mkali sana
ofcoz na mimipia nilijibu kiutani ,sababu mrangi namjua in personal ,tukishindwaga kujua hili jiwe gani tunamtumia sana ,by the way tuko pamoja.Mkuu naamini hunijui na pia tulikuwa hata hatubishani. Kama umeona nlivyomjibu mara ya kwanza ilikuwa ka utani vile. Yote tisa kumi,sie huwa tunasema mawe hayaongei yanahitaji mtu kuyatambua so kama Mrangi mkali hongera zake.Tunahitaji watu kama hao Tz.
ndo ujue uchumi wetu ni wamagumashi... hapo watu pia wanamuona ana pesa balaaaAisee...huku mtaani mtu akiwa na ki alex anavimbaa balaa
Jamaa alipata zali la mzungu akamuachia mgodi asimamie..kila mwenye "vijisenti kwa sauti ya Chenge sio poda au wizi"wengi huishia pabaya i dont know why kuna haja gani ya yeye kujionyesha hivyo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ndinga ni za ukweli sana,Ukiongelea kijana mwenye magari makali bongo wengi watakuambia Diamond ila wachache sana hawajui mondi hayupo hata kwenye top 100 ya vijana wakali wa town kwa mandinga makali.
Huyu hapa ni kijana Marley dollars ukiacha jumba lake la maana ana miliki ndinga za maana sana mjini. View attachment 738210View attachment 738211View attachment 738212View attachment 738213View attachment 738214View attachment 738215View attachment 738216View attachment 738217View attachment 738218View attachment 738219View attachment 738220View attachment 738221View attachment 738223
Haya ni mawazo ya kimasikini.Hizo ndinga ni za ukweli sana,
Sasa na ukwasi wote huo,huyu jamaa ni nani?anafanya nini?kumiliki magari sio hoja,hata Mo Dewji anayo,tofauti ni kwamba Mo ni mfanyabiashara mzawa,anayetoa ajira kibao kwa wananchi.
Sasa huyu "dollars" yeye anafanya nini kwa jamii?
Amepitia wapi kupata huo ukwasi?maana MTU kama Masanja mkandamizaji,au joti,au Diamond,tunajua walipotoka,huyu kaibukia wapi?
Hapo alipo sidhani kama ana miaka hata 35,sasa kama ujapewa ulithi! Au hujaiba,mpaka unamaliza shahada ya kwanza una miaka 27,sasa kuweza kupata ajira na umiliki hizo Mali,kwa miaka 8,ni ngumu,may be,kama alipomaliza akaajiriwa Ikulu,au UN!!
Kapata wapi mali!amefanya nini kijana mwenzetu na sisi tuige!
Siku hizi hatushoboki sana na ma "bling bling" kama hayo,tuna "admire tu" then tunaendelea na maisha yetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mzungu alienda wap??Jamaa alipata zali la mzungu akamuachia mgodi asimamie..kila mwenye "vijisenti kwa sauti ya Chenge sio poda au wizi"
Umewahi kufika mgodini???mawe yanachimbwa miaka kadhaa ndio upate bingo..mzungu tajiri ana mambo yake anakuja on and off..
dogo katisha vipi ana mishe gani hapa town