Marley Dollars $$ kijana anayetingisha Bongo kwa Mandinga makali

Marley Dollars $$ kijana anayetingisha Bongo kwa Mandinga makali

Si ungetaja tu Tanzanite. Hivi ile degree ya geology ushamaliza?
Hii ndy zoisite
Hao wanao chkua degree nawapa elimu kila leo...usipende kubisha vitu jifunze kuelewa
Na kufa hamu

Ova
images.jpeg-2.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndy zoisite
Hao wanao chkua degree nawapa elimu kila leo...usipende kubisha vitu jifunze kuelewa
Na kufa hamu

Ova
View attachment 1063241

Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzanite. Tanzanite is the blue and violet variety of the mineral zoisite (a calcium aluminium hydroxyl sorosilicate), caused by small amounts of vanadium, belonging to the epidote group.

Na nazijua hizo na nlikuwa nakuzingua tu mkuu. I was just playing.
 
Nilikutana na hiyo Jeep yake nyeusi siku kapaki pale Mbezi chini karibia na kwa Sykes kwenye petrol station nilikuwa nachukua vihela ATM niweke kiwese cha 'salasini' elfu kwenye kamkebe kangu nilijitukana kimoyomoyo...sema nilikuwa najiuliza mbona ina namba za nje?...hongera dogo kama umezipata kihalali kula maisha...ila kama haramu utalipwa.
 
Z
Tanzanite. Tanzanite is the blue and violet variety of the mineral zoisite (a calcium aluminium hydroxyl sorosilicate), caused by small amounts of vanadium, belonging to the epidote group.

Pole sana pia mkuu. Najua nlichokiandika.
Dogo kwa mrangi swala la mawe atakuua ni mkali sana
 
Dogo kwa mrangi swala la mawe atakuua ni mkali sana
Mkuu naamini hunijui na pia tulikuwa hata hatubishani. Kama umeona nlivyomjibu mara ya kwanza ilikuwa ka utani vile. Yote tisa kumi,sie huwa tunasema mawe hayaongei yanahitaji mtu kuyatambua so kama Mrangi mkali hongera zake.Tunahitaji watu kama hao Tz.
 
ofcoz na mimipia nilijibu kiutani ,sababu mrangi namjua in personal ,tukishindwaga kujua hili jiwe gani tunamtumia sana ,by the way tuko pamoja.
 
Ukiongelea kijana mwenye magari makali bongo wengi watakuambia Diamond ila wachache sana hawajui mondi hayupo hata kwenye top 100 ya vijana wakali wa town kwa mandinga makali.

Huyu hapa ni kijana Marley dollars ukiacha jumba lake la maana ana miliki ndinga za maana sana mjini. View attachment 738210View attachment 738211View attachment 738212View attachment 738213View attachment 738214View attachment 738215View attachment 738216View attachment 738217View attachment 738218View attachment 738219View attachment 738220View attachment 738221View attachment 738223
Hizo ndinga ni za ukweli sana,
Sasa na ukwasi wote huo,huyu jamaa ni nani?anafanya nini?kumiliki magari sio hoja,hata Mo Dewji anayo,tofauti ni kwamba Mo ni mfanyabiashara mzawa,anayetoa ajira kibao kwa wananchi.
Sasa huyu "dollars" yeye anafanya nini kwa jamii?
Amepitia wapi kupata huo ukwasi?maana MTU kama Masanja mkandamizaji,au joti,au Diamond,tunajua walipotoka,huyu kaibukia wapi?
Hapo alipo sidhani kama ana miaka hata 35,sasa kama ujapewa ulithi! Au hujaiba,mpaka unamaliza shahada ya kwanza una miaka 27,sasa kuweza kupata ajira na umiliki hizo Mali,kwa miaka 8,ni ngumu,may be,kama alipomaliza akaajiriwa Ikulu,au UN!!
Kapata wapi mali!amefanya nini kijana mwenzetu na sisi tuige!
Siku hizi hatushoboki sana na ma "bling bling" kama hayo,tuna "admire tu" then tunaendelea na maisha yetu.

Haya ni mawazo ya kimasikini.

Zuckerberg alikuwa bilionea miaka mitatu baada ya kuanzisha facebook.

Walio ajiriwa Ikulu au UN hawana hela kama unavyodhani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hv atatiwa mbaroni huyu ....sio vizuri ku attract attention ya watu....wenye mamlaka watakuhoji source of income....kama una biashara wataangalia kama unalipa kodi inayostahili.....wakikuta gep ndio utajua mamlaka sio kitu cha kuchezea hasa awamu hii....na kama chanzo cha pesa ni kichafu Money Laundering ndio inaingia hapo
 
Back
Top Bottom