Huyu jamaa nilianza kumuona toka muda sana, na kuna yure dogo mwingine alifariki mwaka 2015 nazani!..Huyu hapa ni kijana Marley dollars ukiacha jumba lake la maana ana miliki ndinga za maana sana mjini. View attachment 738210
itakuwa kweli vipi TRA hawajawai kumuibukia kweli?Anauza madini ya ruby
Nkazan ana trade ForexAnauza madini ya ruby
We jamaa wewe,naona unajitangazia biashara yakoKm Jina Langu
Hili ndilo swali la msingi.Anapiga mishe gani kwanza??
Ngada sio?Km Jina Langu
Hivi kwanini mleta uzi asipige yote kwa pamoja yakiwa yame-parkAsije akawa ni fundi makenika au dereva tu...
Una maswali mengi na bado hujapata jibu unatoa ushauri vijana waige. Waige kipi toa ufafanuziKumiliki hizo gari zoote jamani na kama hana a huge registered known company, ntabaki najiuliza maswali tu.
na lazima yoooote yawe yanalenga kwenye kuuza ngano!!! Au utapeli flani au amerithi kama motel!!!
Vijana wengine muige basi[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole.Naona mpenzi wangu ka-like picha ya mwana, safi tutafika tu.
Ivyoivyo muige tuuu[emoji23]Una maswali mengi na bado hujapata jibu unatoa ushauri vijana waige. Waige kipi toa ufafanuzi
Wakuu ni serious Ngada inaweza ikamfanya mtu awe ina utajiri kama huu nchi masikini kama Tanzania? Utajiri wa Ngada nilijua uko kwa wenzetu Colombia, Mexico, Marekani n.kNgada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada