Marley Dollars $$ kijana anayetingisha Bongo kwa Mandinga makali

Marley Dollars $$ kijana anayetingisha Bongo kwa Mandinga makali

Naona mpenzi wangu ka-like picha ya mwana, safi tutafika tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Pole sana, tafuta hela tuu mpenzi wako lazma atulie hatohangaika kugonga like kwenye picha za wenye dollars [emoji385]
 
Na picha tu don’t mean shit!

Wengi tu wanaweza kupiga picha na magari.

Kupiga picha na magari haimaanishi ndo unayamiliki.

Heck, hata kuendesha tu gari haimaanishi ndo unalimiliki.
Hizo namba umeona zimesajiliwa kwa jina gani au umeamua kuropoka bila kushirikisha macho mkuu
 
Wivu wa nini sasa?
Kwanza simjui kabisa huyo mtu.
Leo ndo kwanza nimeona picha zake.
Hakuna wivu hapa. Jaribu jingine.
Usibishe sasa huyo mtu wengine tumeanza mjua toka enzi za Vasco da Gama!..Nyie wakuja na kulalamika 'maigizo' kaeni kimya kuna watu wanalijua jiji kabla yenu!..
 
Back
Top Bottom