Marley Dollars $$ kijana anayetingisha Bongo kwa Mandinga makali

Sure anaonekana mshamba mshamba haendani na wanavyo tuahabarisha ni Mali Zake
Umekaririshwa na bongo muvi kuwa kijana mwenye pesa lazima awe na muonekano wa kina ray kigosi na yule msomali? Mabrazameni wanajua wapi kusaka hela? Wagumu na watemi ndo wenye hela katika maisha ya kwelikweli. Huyo anaenda msumbiji maporini huko kusaka madini bitozi anaweza hayo?
 
Unaumri gani? Sijakaririshwa natambua... Mwenye PESA anakaa officen haendi porini kijana... Anakuwa na vijana wake kila sector na section..
 
Hahahahahahah mawazo hayo ndo nnayokuambia we bongo muvi zimekutawala. Unaona mwenye pesa yuko ofisini kiyoyozi hajaamka tu akajikuta yuko ofisini. Unaanza kupigika kabla hujapata iyo ofisi na hao wa vijana wa kila sector unaowasema. Basi na wewe kaanze ofisini na vijana wako tukuone kama unazani pesa ni rahisi kama bongo muvi zako
 
Haya nenda porini utuletee hayo madini officen tununue...
 
Utoke kijiweni uwe na ofisi ya kununua madini kirahisirahisi tu? Acha ndoto. Kwanza mwenzio kachakarika ana ofisi yake mjini ya madini. Madini yake hauzi bongo anauza hongkong. Kachakarike kwanza upigike uko chini ukibahatika utafikia lengo la kukaa ofisini.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Pole sana, tafuta hela tuu mpenzi wako lazma atulie hatohangaika kugonga like kwenye picha za wenye dollars [emoji385]
We wanawake unawajua vizur ww, usikute demu wa mshikaji anatamani maliza davido, ama mtoto wa bakhresa[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kama unasaka pesa saka kwa nguv zote kwa ajili ya familia yako hasa mama mzazi, na wanao, usisake pesa ili umkamate mwanamke utajiongopea, nafs ya wanadamu kuridhika ni mtihani kidogo.
 
Utoke kijiweni uwe na ofisi ya kununua madini kirahisirahisi tu? Acha ndoto. Kwanza mwenzio kachakarika ana ofisi yake mjini ya madini. Madini yake hauzi bongo anauza hongkong. Kachakarike kwanza upigike uko chini ukibahatika utafikia lengo la kukaa ofisini.
mwana mbona km unampigia promo huyu Msela? Kuna vijana wanapesa zaidi hata ya huyo au kwa kuwa hawana life la kwenye social Network,,,fanya research yako kwa umakini
 
Kama sio kuuza unga,atakua jambazi huko south,na kwa utawala huu huenda hayupo nchini alishakimbia tayari
Watu mnazidi kumpa kichwa Magu tena kwa mambo asiyostahili hata robo!!

Akimbie kwa lipi?! Dealers still wapo kila mahali; kwanini wao wasikimbie aje kukimbia yeye?!

Majizi yote serikalini bado yanaendelea kutanua... huyo Magu angekuwa kama mnavyotaka kutuaminisha si wangeanza kukimbia majitu ya serikalini yaliyoifisidi serikali miaka nenda rudi!!
 
Back
Top Bottom