Julius Magembe
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 284
- 394
Usibishe sasa huyo mtu wengine tumeanza mjua toka enzi za Vasco da Gama!..Nyie wakuja na kulalamika 'maigizo' kaeni kimya kuna watu wanalijua jiji kabla yenu!..
Umekaririshwa na bongo muvi kuwa kijana mwenye pesa lazima awe na muonekano wa kina ray kigosi na yule msomali? Mabrazameni wanajua wapi kusaka hela? Wagumu na watemi ndo wenye hela katika maisha ya kwelikweli. Huyo anaenda msumbiji maporini huko kusaka madini bitozi anaweza hayo?Sure anaonekana mshamba mshamba haendani na wanavyo tuahabarisha ni Mali Zake
HahahahaHizi caption ni za enzi ya jk , weka za magu mkuu [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Naona unataka tubishane ushamba wako!.Huna ubavu wa kulijua jiji kabla yangu wewe.
Fact kwa kweliUmekaririshwa na bongo muvi kuwa kijana mwenye pesa lazima awe na muonekano wa kina ray kigosi na yule msomali? Mabrazameni wanajua wapi kusaka hela? Wagumu na watemi ndo wenye hela katika maisha ya kwelikweli. Huyo anaenda msumbiji maporini huko kusaka madini bitozi anaweza hayo?
Unaumri gani? Sijakaririshwa natambua... Mwenye PESA anakaa officen haendi porini kijana... Anakuwa na vijana wake kila sector na section..Umekaririshwa na bongo muvi kuwa kijana mwenye pesa lazima awe na muonekano wa kina ray kigosi na yule msomali? Mabrazameni wanajua wapi kusaka hela? Wagumu na watemi ndo wenye hela katika maisha ya kwelikweli. Huyo anaenda msumbiji maporini huko kusaka madini bitozi anaweza hayo?
Naona unataka tubishane ushamba wako!.
Hahahahahahah mawazo hayo ndo nnayokuambia we bongo muvi zimekutawala. Unaona mwenye pesa yuko ofisini kiyoyozi hajaamka tu akajikuta yuko ofisini. Unaanza kupigika kabla hujapata iyo ofisi na hao wa vijana wa kila sector unaowasema. Basi na wewe kaanze ofisini na vijana wako tukuone kama unazani pesa ni rahisi kama bongo muvi zakoUnaumri gani? Sijakaririshwa natambua... Mwenye PESA anakaa officen haendi porini kijana... Anakuwa na vijana wake kila sector na section..
Haya nenda porini utuletee hayo madini officen tununue...Hahahahahahah mawazo hayo ndo nnayokuambia we bongo muvi zimekutawala. Unaona mwenye pesa yuko ofisini kiyoyozi hajaamka tu akajikuta yuko ofisini. Unaanza kupigika kabla hujapata iyo ofisi na hao wa vijana wa kila sector unaowasema. Basi na wewe kaanze ofisini na vijana wako tukuone kama unazani pesa ni rahisi kama bongo muvi zako
Jf lazima ucheke tuππππNaona mpenzi wangu ka-like picha ya mwana, safi tutafika tu.
Pole mkuu,aiseeee nimecheka sanaNaona mpenzi wangu ka-like picha ya mwana, safi tutafika tu.
Utoke kijiweni uwe na ofisi ya kununua madini kirahisirahisi tu? Acha ndoto. Kwanza mwenzio kachakarika ana ofisi yake mjini ya madini. Madini yake hauzi bongo anauza hongkong. Kachakarike kwanza upigike uko chini ukibahatika utafikia lengo la kukaa ofisini.Haya nenda porini utuletee hayo madini officen tununue...
sio unasikia ni ticha kweli ..Jamaa mbona nasikia ni mwalimu wa sekondari na si ajabu ashapelekwa primary
We wanawake unawajua vizur ww, usikute demu wa mshikaji anatamani maliza davido, ama mtoto wa bakhresa[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana, tafuta hela tuu mpenzi wako lazma atulie hatohangaika kugonga like kwenye picha za wenye dollars [emoji385]
mwana mbona km unampigia promo huyu Msela? Kuna vijana wanapesa zaidi hata ya huyo au kwa kuwa hawana life la kwenye social Network,,,fanya research yako kwa umakiniUtoke kijiweni uwe na ofisi ya kununua madini kirahisirahisi tu? Acha ndoto. Kwanza mwenzio kachakarika ana ofisi yake mjini ya madini. Madini yake hauzi bongo anauza hongkong. Kachakarike kwanza upigike uko chini ukibahatika utafikia lengo la kukaa ofisini.
Watu mnazidi kumpa kichwa Magu tena kwa mambo asiyostahili hata robo!!Kama sio kuuza unga,atakua jambazi huko south,na kwa utawala huu huenda hayupo nchini alishakimbia tayari