Marley Dollars $$ kijana anayetingisha Bongo kwa Mandinga makali

Kuridhika ni ngumu ila kidogo atapunguza shobo (kiherehere) kwa wenye nazo.

Tafuteni pesa kwa bidii walau itapunguza maumivu kwa wapenzi wenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuridhika ni ngumu ila kidogo atapunguza shobo (kiherehere) kwa wenye nazo.

Tafuteni pesa kwa bidii walau itapunguza maumivu kwa wapenzi wenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu niwe mkweli kabisa mimi sitafuti pesa ili nimtulize mwanamke, hata wanangu wakikua nitawachana wapambane wasitegemee kurithi kwangu, ndio sembuse mwanamke, mpaka hapa nilipofika ama maisha niliyonayo namshukuru mwenyezi mungu, naongeza kutafuta mkwanja kukidhi haja/matamanio ya nafsi yangu tu, nafsi yangu siitimizii 100% ndio nitatimizia nafsi ya mwenzangu!!
 
Dunia imegeuka roho ya utajiri imeshika hatamu na kuwapofua macho vijana......hawaoni mbele ingawa wanakimbia sana kuikimbiza hela.....wapo tayari hata kuhatarisha tunu ya uhai na afya kwa ujumla kwa ajili ya fedha.....lakini mwisho wa siku wanakuja kugundua kuwa fedha ni kipande cha thamani kwa ajili ya kubadilishana na huduma au bidhaa....baada ya hilo fedha haina thamani.....wanakuja kugundua kuwa kuna vitu muhimu walivitoa sadaka kwa ajili ya fedha ambavyo hawawezi kuvipata tena pamoja na mahela waliyojaza mifukoni mwao.......

NB
Nyuma ya tabasamu la mwenye fedha kuna majonzi mengi sana.....ambayo ni vile anavyotaka watu wayaone maisha yake.....
 
mwana mbona km unampigia promo huyu Msela? Kuna vijana wanapesa zaidi hata ya huyo au kwa kuwa hawana life la kwenye social Network,,,fanya research yako kwa umakini

Kama mwenyewe anajipigia promo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wenye jicho la husuda kama Bashite na baba ake awajamtembelea bado
 
Mzee acha chuki kwa vijana.
 
Asante kwa taarifa serikali imeshamuona itamshughulikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…