mangelengele
JF-Expert Member
- Nov 4, 2014
- 1,293
- 1,100
Nakubaliana na ww, watu hatuwez kufanana ni kweli tunazidiana, hivyo na yeye kazidiwa na wenzake. Me namuona anakipaji ni swala la kujiamini tu.Hakuna kitu kama hicho usitake watu wafanane.
Tangiapo anajiamini ndo maana kafanya maamuzi kama hayo. Hapo kulikuwa na option ya kujisimamia na kusimamiwa so kachangua changuo lenye maslahi zaidi ya jingine.Nakubaliana na ww, watu hatuwez kufanana ni kweli tunazidiana, hivyo na yeye kazidiwa na wenzake. Me namuona anakipaji ni swala la kujiamini tu.
We jamaa mtu wa ajabu sana! Kwenye hiyo pic, Queen Darleen wala Harmonize hawapo lakini kwako ambae "amekatwa" kwenye picha ndo unaona hapewi shavu! Na vp kuhusu ambao hawapo kabisa?! Btw, hivi amekatwa au ni matokeo ya position aliyosimama?!Rich mavoko hapewagi shavu na WCB,hadi kwenye picha wamemkata hahah
1. Kufahamu muziki ni jambo moja na kufahamu management ya muziki ni jambo lingine. Hata huyo Beka Flavor alijaribu kutafuta management lakini hakupata serious management... sio kwamba hana! Ingekuwa ndo enzi hizo, hakika Beka Flavor nisingemwacha manake ndie my favorite artist pale Yamoto.Hakuna kuamua mkuu, uwezo mbona hii ipo wazi unataka kuitetea? Hana uwezo wa kijisimamia km Independent Musician. Harmonize alienda pale kwakua alikua undergroung, ss yeye na ustar wote aliouvuna Yamoto! Km kuna mwanamzik mkubwa ameenda Wasafi, ujue hali ilikuwa mbaya.
Kimanzichana20% yupo wapi siku hizi
Hao ndio wale hata kama unaogelea watasema unawatimulia vumbi.We jamaa mtu wa ajabu sana! Kwenye hiyo pic, Queen Darleen wala Harmonize hawapo lakini kwako ambae "amekatwa" kwenye picha ndo unaona hapewi shavu! Na vp kuhusu ambao hawapo kabisa?! Btw, hivi amekatwa au ni matokeo ya position aliyosimama?!
Bhana eh! Au mnaogelea pamoja halafu anasema unamwagia maji wakati tayari yupo kwenye maji!!!Hao ndio wale hata kama unaogelea watasema unawatimulia vumbi.
Nimecheka sanaHao ndio wale hata kama unaogelea watasema unawatimulia vumbi.
Niulize.We jamaa mtu wa ajabu sana! Kwenye hiyo pic, Queen Darleen wala Harmonize hawapo lakini kwako ambae "amekatwa" kwenye picha ndo unaona hapewi shavu! Na vp kuhusu ambao hawapo kabisa?! Btw, hivi amekatwa au ni matokeo ya position aliyosimama?!
Unaweza kujibu unachohisi unajibu lake hata bila kuulizwa!Niulize.
Niulize.Unaweza kujibu unachohisi unajibu lake hata bila kuulizwa!
Hoja yako hasa nini?!Niulize.
Niulize.Hoja yako hasa nini?!
Wewe ni mmoja wa wajumbe wa WCB au mpenzi mshabiki kwa lugha nyepesi nyepesi.Usiku wa kuamkila leo WCB ikiongozwa na Diamond Platnumz, wamemtambulisha msanii wao mpya Mbosso ambaye alikuwa Yamoto Band.
Hafla ya kumtambukisha msanii huyo iliudhuliwa na watu mabalimbali ikiwemo waandishi wa habari.
Pia Mbosso ametoa video yake mpya "Watakubali" akiwa kama solo artist, itazame hapo chini