Maromboso (Mbosso) rasmi WCB

Maromboso (Mbosso) rasmi WCB

Hakuna kitu kama hicho usitake watu wafanane.
Nakubaliana na ww, watu hatuwez kufanana ni kweli tunazidiana, hivyo na yeye kazidiwa na wenzake. Me namuona anakipaji ni swala la kujiamini tu.
 
Nakubaliana na ww, watu hatuwez kufanana ni kweli tunazidiana, hivyo na yeye kazidiwa na wenzake. Me namuona anakipaji ni swala la kujiamini tu.
Tangiapo anajiamini ndo maana kafanya maamuzi kama hayo. Hapo kulikuwa na option ya kujisimamia na kusimamiwa so kachangua changuo lenye maslahi zaidi ya jingine.
Opportunity cost = the best alternative for gone.
 
Rich mavoko hapewagi shavu na WCB,hadi kwenye picha wamemkata hahah
We jamaa mtu wa ajabu sana! Kwenye hiyo pic, Queen Darleen wala Harmonize hawapo lakini kwako ambae "amekatwa" kwenye picha ndo unaona hapewi shavu! Na vp kuhusu ambao hawapo kabisa?! Btw, hivi amekatwa au ni matokeo ya position aliyosimama?!
 
Hakuna kuamua mkuu, uwezo mbona hii ipo wazi unataka kuitetea? Hana uwezo wa kijisimamia km Independent Musician. Harmonize alienda pale kwakua alikua undergroung, ss yeye na ustar wote aliouvuna Yamoto! Km kuna mwanamzik mkubwa ameenda Wasafi, ujue hali ilikuwa mbaya.
1. Kufahamu muziki ni jambo moja na kufahamu management ya muziki ni jambo lingine. Hata huyo Beka Flavor alijaribu kutafuta management lakini hakupata serious management... sio kwamba hana! Ingekuwa ndo enzi hizo, hakika Beka Flavor nisingemwacha manake ndie my favorite artist pale Yamoto.

2. Hata Aslay anasimamiwa na Chambuso unless awe amebwagana nae siku za karibuni!

3. Hawa wengine hawasikiki kwenye issue za management kwa sababu management zao hazijakaa kitaasisi kama ilivyo WCB bali ni management za watu binafsi na hawapo aggressive kama walivyo WCB
 
We jamaa mtu wa ajabu sana! Kwenye hiyo pic, Queen Darleen wala Harmonize hawapo lakini kwako ambae "amekatwa" kwenye picha ndo unaona hapewi shavu! Na vp kuhusu ambao hawapo kabisa?! Btw, hivi amekatwa au ni matokeo ya position aliyosimama?!
Hao ndio wale hata kama unaogelea watasema unawatimulia vumbi.
 
Wimbo muzuri big up Mboso huku Rwanda nakuelewa sana umekuja kivingine.
 
We jamaa mtu wa ajabu sana! Kwenye hiyo pic, Queen Darleen wala Harmonize hawapo lakini kwako ambae "amekatwa" kwenye picha ndo unaona hapewi shavu! Na vp kuhusu ambao hawapo kabisa?! Btw, hivi amekatwa au ni matokeo ya position aliyosimama?!
Niulize.
 
Usiku wa kuamkila leo WCB ikiongozwa na Diamond Platnumz, wamemtambulisha msanii wao mpya Mbosso ambaye alikuwa Yamoto Band.
26872946_195824407829304_8604132671548817408_n.jpg

Hafla ya kumtambukisha msanii huyo iliudhuliwa na watu mabalimbali ikiwemo waandishi wa habari.
Pia Mbosso ametoa video yake mpya "Watakubali" akiwa kama solo artist, itazame hapo chini

Wewe ni mmoja wa wajumbe wa WCB au mpenzi mshabiki kwa lugha nyepesi nyepesi.
 
Nzuri sijui ameandika rayvan naona hizi idea ameziandika sana rayvany
 
Back
Top Bottom