Marriage Is a Hypocritical Institution Part 2, Kauli sifuti ng'o

Marriage Is a Hypocritical Institution Part 2, Kauli sifuti ng'o

umeona eeeeh kama huna nauli kaa pembeni so uanze kutoa visingizio oohoo basi bovu,limejaa sana, linaweza kupinduka , n.k tunaita maneno ya kujifariji kwa kukosa ticketi
Okay! BASI HILO LINA UTULIVU, MARAHA YA KILA AINAAAA, NA STAREHE ZOOTE ZA DUNIANI, WALIOMO HUMO HAWAJAPUNGUKOWA CHOCHOTEEEE, NA WOTE WANA MIOYO SAFIIII, WALA HAKUNA HATA MMOJA ATAEKOSA KUINGIA MAHALI PEMAAAAA! YEYOTE ABISHAE HILI HUYO NI MDHAMBI, HAKUNA TALAKA, HAKUNA WATOTO WA NJE, HAKUNA MICHEPUKOOO, HAKUNA KUTOKUELEWANA, HALI NI SHWARI JANUARY HADI DECEMBERR! Huu ndio ukweli halisi wa basi hiliiii, mtizamo mwingine wowote ni wa yule mpagani Lara 1.

HOPE THIS MAKES YOU SLEEP AT NIGHT! Hahaaaaaaa!
 
Finaly a logical response ila sababu na mie BIBLE KNOWLEDGE MAJOR twende mdogo mdogo!

Mimi nimesema Daudi hakuwa na NDOA TAMBARAREEE! Ndoa ilikuwa na mushkeli, na pia nilisema ALITUBU so umefanya tu repitition ya nilichokisema!

Ibrahim hakuwa mnafiki kwa sara JE MTOTO WAKE YULE MWINGINE? NA YULE MAMA WA MTOTO JE? Kweli hata wanandoa wa saivi wakitubu WATASAMEHEWA! Nimempa watu8 kifungu kile cha Samwell muhimu sanaa!

Eva alichomfanyia adamu ULE NI UPENDO EEEH!? Okay! Maana hata hio chapter ina interpretations nyingi sanaa!

Bible ina INTERPRETATIONS NYINGI SANAAA! Sitaki niongee watu wa dini wanishukie BOTTOM LINE WAS NOTION YA NDOA NI TAMBARARE SIO KWELI NDO MAANA NIKAKUONESHA NDOA ZILIZOZAA KASH KASH WITHIN NA KWA WATU WA NJE!

katika hiyo hiyo bible unaitumia kupata ndoa zilizozaa kash kash hakuna mifano ya ndoa nzuri tukaitumia kuprove ndoa is not hypocritical institution
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ilikuwa ni intro.

Back to the topic. Nimegundua kuna vitu viwili unavichanganya navyo ni moja, uvumilivu na pili ni unafiki.
unashindwa kutofautisha hivi vitu viwili.

Ukiona mtu anavumilia haimaanishi kuwa ni hypocryte. Sometimes inabidi umeze mate machungu. huo ndio unaitwa uvumilivu.

.

Huwa najiuliza,
Hivi kwenye ndoa ni KUVUMILIA au KUVUMILIANA?
 
anaponda ndoa wakat wanaparamia waume za wenzao wanajisifia mme wa mtu anahonga wakat wao wameshindwa kuingia kwenye ndoa.
Waume wa wenzetu SI WANA NDOA WENZENU AMA? Umeonaa kiwa Mume wa mtu afu anahonga wengine? Mmmmh!
KWELI NDOA NI NOBLE INSTITUTION!
 
Okay! BASI HILO LINA UTULIVU, MARAHA YA KILA AINAAAA, NA STAREHE ZOOTE ZA DUNIANI, WALIOMO HUMO HAWAJAPUNGUKOWA CHOCHOTEEEE, NA WOTE WANA MIOYO SAFIIII, WALA HAKUNA HATA MMOJA ATAEKOSA KUINGIA MAHALI PEMAAAAA! YEYOTE ABISHAE HILI HUYO NI MDHAMBI, HAKUNA TALAKA, HAKUNA WATOTO WA NJE, HAKUNA MICHEPUKOOO, HAKUNA KUTOKUELEWANA, HALI NI SHWARI JANUARY HADI DECEMBERR! Huu ndio ukweli halisi wa basi hiliiii, mtizamo mwingine wowote ni wa yule mpagani Lara 1.

HOPE THIS MAKES YOU SLEEP AT NIGHT! Hahaaaaaaa!
kwi kwi kwi kwi ndo unataka kunitwisha zigo la kipa unipe point za bure bila jasho game inaendelea ustoke nje ya game kwa shingo upande like that viungo washambuliaji wapo mi muokota mipira usiniattack lol
 
anaponda ndoa wakat wanaparamia waume za wenzao wanajisifia mme wa mtu anahonga wakat wao wameshindwa kuingia kwenye ndoa.
Hebu soma tena ulichokiandika?
Hapo ndipo haswaaaa unafiki wa wanandoa ulipo.

Hapo hapo
 
Hivi mtu akitunukiwa nishani ya ufanyakazi bora,inamaanisha hakuwahi kukosea muda wote aliokuwa akifanya kazi?..tumuite mnafiki kwa kuwa kwake mfanyakazi bora?
Walioko kwenye ndoa ni wanadamu pia ...Sio malaika kusema hawakosei...to err is human....married or single.... Wote tunakosea. .na kukosea Sio unafiki matatizo pia lazima yasemwe
 
katika hiyo hiyo bible unaitumia kupata ndoa zilizozaa kash kash hakuna mifano ya ndoa nzuri tukaitumia kuprove ndoa is not hypocritical institution
Siku ni kija na mada MARRIAGE IS A NOBLE INSTITUTION nitalwta REFERENCE za hio topic! Au kifanya research ya advantages unaweka reference za disadavantages? We ukiona room for further research chukua postive endeleza hii topic.
 
Hivi mtu akitunukiwa nishani ya ufanyakazi bora,inamaanisha hakuwahi kukosea muda wote aliokuwa akifanya kazi?..tumuite mnafiki kwa kuwa kwake mfanyakazi bora?
Walioko kwenye ndoa ni wanadamu pia ...Sio malaika kusema hawakosei...to err is human....married or single.... Wote tunakosea. .na kukosea Sio unafiki matatizo pia lazima yasemwe
GOOD POINT! Tukikubali wote tunakosea ndo UUNGWANAAAA YAKHEEEE! Sio hoja za jana NDOA NI NDOA HAIKOSEI, NA HATA IKIKOSEA HAIRUHUSIWI KUSEMA YANAMALIZWA KIMYA KIMYA! What is this?
 
The whole point ni hapo kwenye bold - Marriage is a very noble institution!
WITH NOT SO NOBLE PEOPLE, COMMON HUMANS WHO MAKE COMMON MISTAKES? Hahaaaaaaa! How can you separate man from his actions?
 
kwi kwi kwi kwi ndo unataka kunitwisha zigo la kipa unipe point za bure bila jasho game inaendelea ustoke nje ya game kwa shingo upande like that viungo washambuliaji wapo mi muokota mipira usiniattack lol
Hii haikuwa kwenye ligi yetu, ilikuwa mwchi yako ya kirafiki na mgiriki, mi nikaingia kuchombezaa tu! Ligi yetu iko pale pale!
 
WITH NOT SO NOBLE PEOPLE, COMMON HUMANS WHO MAKE COMMON MISTAKES? Hahaaaaaaa! How can you separate man from his actions?

Marriage shall never be a union of saints. Its between human beings with all their shortcomings. The institution is a noble one all the same!
 
mnachoropoa mimba halafu uanajifanya unasifia mtoto wa mwenzio mzuri wakati umetoa mimba ya mtoto wako si unafiki huo?

NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE.

Jamani jamani jamaniiii
Tuache unafiki. Kwenye ndoa mimba hazitolewi????
Bora wasioolewa wapo huru kuzuia mimba kuliko wenye ndoa, eti mume hataki condom kwahiyo mnaachia iingie then asubuhi mtaflash.
Ongeeni vya kweli mada inoge
 
Back
Top Bottom