Marriage Is a Hypocritical Institution Part 2, Kauli sifuti ng'o

Marriage Is a Hypocritical Institution Part 2, Kauli sifuti ng'o

Hivi mtu akitunukiwa nishani ya ufanyakazi bora,inamaanisha hakuwahi kukosea muda wote aliokuwa akifanya kazi?..tumuite mnafiki kwa kuwa kwake mfanyakazi bora?
Walioko kwenye ndoa ni wanadamu pia ...Sio malaika kusema hawakosei...to err is human....married or single.... Wote tunakosea. .na kukosea Sio unafiki matatizo pia lazima yasemwe

Toa msimamo wako. wapenda kuolewa weye?
 
katika hiyo hiyo bible unaitumia kupata ndoa zilizozaa kash kash hakuna mifano ya ndoa nzuri tukaitumia kuprove ndoa is not hypocritical institution
Kwa maneno haya umekubaliana na mtoa mada!
 
So you think telling me that I think low makes me think low?? This is completely inferiority complexity, nilichosema kwenye comment yangu ni kwamba sioni jipya kwenye ndoa kwa sababu kila wanachofanya wanandoa nishafanya kasoro moja tu, kuhalalishwa kama mwanandoa, sasa wewe mwenye ndoa halali nithibitishie kwamba sijui nachosema.

haija halalishwa na nani au nini??
unajua maana ya ''kama''?
Ndoa ni nini?
kwanini huo uzinzi haujahalalishwa?
kama haina jipya ina lipi?
niambe maana ya kuoa halafu niambie umeo au la**
nini kinafanywa ndani ya ndoa?
A+B is a value
but
A+B=Is a question to an answer
what makes you think you are conducting a marriage system
 
we ndio chanzo cha thread zoote hizi ujue....

huyo Christina mwambie asimsahau HOE

sio kweli huyo alikuwa na moyon toka kitambi ila alishindwa namna ya kuyatoa. Nilichokifanya mm ni kuwachokonoa kwa mawe
 
Kwani unafiki unauelezeaje? Maana nikiangalia hata mifano ulotoa nashindwa kukuelewa. Abraham alilala na house girl sio kwa kutaka Bali mkewe alimpA ruhusa sasa unafiki unatoka wapi apo? Otherwise unafiki upo tuu hata bila ya ndoa na ukifanya reference ya bible neno la Mungu halipingiki NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE!
Kwani Sara aliridhia kiroho safi?
Kama kiroho safi mbona baadae aliwanyanyasa Hajra na mwanae??
 
Dondoo ya hoja zangu nzito hii hapa

Dhumuni la ndoa


  • Masahafu ya Quran Tukufu na Biblia Takatifu yameeleza umuhimu wa taasisi ya ndoa
  • Tafiti za kisayansi na kijamii zimeonesha na zinaoesha umuhimu wa ndoa
  • Mazingira ya kijamii yanaonesha namna wanandoa wanavyoepuka msongo wa mawazo kwa kuishi vema

Changamoto za ndoa

  • Masahafu ya Quran Tukufu na Biblia yameanukuu hadithi zinazoakisi changamoto za ndoa
  • Tafiti za kisayansi na kijamii nazo zimeonesha na zinaoesha changamoto za ndoa

Maoni yangu

  • Ukichukua changamoto za ndoa, ukazijadili huku ukishibisha mifano ya changamoto hizo kasha ukahitimisha ati ndoa ni unafiki, hitimisho lako nibaki kuwa jepesi maana limebobea kwenye ushahidi wa upande mmoja.
  • Hitimisho zuri la mada/hoja yako lingebeba pia namna ndoa inavyoisaidia jamii na namna ndoa inavyoibomoa jamii. Hapo hitimisho lako lingekuwa zito.

NB: Ni imani yangu kuwa waweza kujazia ‘nyama’ dondoo hapo juu.

Main point yangu ni kuwa KWENYE TAASIS HIO KUNA CHANGAMOTO PIA??? Sasa wengine hapa ndo wanapobishaaaa! Wanadai kule MAMBO TAMBARAREZZZ YOU KNOW! Huku tu Single ndo kuna changa moto?
 
haija halalishwa na nani au nini??
unajua maana ya ''kama''?
Ndoa ni nini?
kwanini huo uzinzi haujahalalishwa?
kama haina jipya ina lipi?
niambe maana ya kuoa halafu niambie umeo au la**
nini kinafanywa ndani ya ndoa?
A+B is a value
but
A+B=Is a question to an answer
what makes you think you are conducting a marriage system

Enheee!!!
REALITY nawe una ndoa????
Bhuhahahaaaa
 
Kwani Sara aliridhia kiroho safi?
Kama kiroho safi mbona baadae aliwanyanyasa Hajra na mwanae??
Mabishani ya BIBLE kuna MTU MZITO kaomba yasiwepo! Let it go! Tubishanie tu vingine!
 
Back
Top Bottom