The whole point ni hapo kwenye bold - Marriage is a very noble institution!
Hivi unajua nakusubiri tufuturu??
Hivi mtu akitunukiwa nishani ya ufanyakazi bora,inamaanisha hakuwahi kukosea muda wote aliokuwa akifanya kazi?..tumuite mnafiki kwa kuwa kwake mfanyakazi bora?
Walioko kwenye ndoa ni wanadamu pia ...Sio malaika kusema hawakosei...to err is human....married or single.... Wote tunakosea. .na kukosea Sio unafiki matatizo pia lazima yasemwe
Kwa maneno haya umekubaliana na mtoa mada!katika hiyo hiyo bible unaitumia kupata ndoa zilizozaa kash kash hakuna mifano ya ndoa nzuri tukaitumia kuprove ndoa is not hypocritical institution
So you think telling me that I think low makes me think low?? This is completely inferiority complexity, nilichosema kwenye comment yangu ni kwamba sioni jipya kwenye ndoa kwa sababu kila wanachofanya wanandoa nishafanya kasoro moja tu, kuhalalishwa kama mwanandoa, sasa wewe mwenye ndoa halali nithibitishie kwamba sijui nachosema.
kuja pande hizi tufturu babu tukimaliza ndio ndio turudi hapa
we ndio chanzo cha thread zoote hizi ujue....
huyo Christina mwambie asimsahau HOE
Hili sio jibu!Sizitaki mbichi hizi...by Lara 1
Kwani Sara aliridhia kiroho safi?Kwani unafiki unauelezeaje? Maana nikiangalia hata mifano ulotoa nashindwa kukuelewa. Abraham alilala na house girl sio kwa kutaka Bali mkewe alimpA ruhusa sasa unafiki unatoka wapi apo? Otherwise unafiki upo tuu hata bila ya ndoa na ukifanya reference ya bible neno la Mungu halipingiki NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE!
Kwa maneno haya umekubaliana na mtoa mada!
Hii haikuwa kwenye ligi yetu, ilikuwa mwchi yako ya kirafiki na mgiriki, mi nikaingia kuchombezaa tu! Ligi yetu iko pale pale!
mume Wangu .., baba wa kijacho wangu lini utarejea
na wewe umekubaliana na nani?
Dondoo ya hoja zangu nzito hii hapa
Dhumuni la ndoa
- Masahafu ya Quran Tukufu na Biblia Takatifu yameeleza umuhimu wa taasisi ya ndoa
- Tafiti za kisayansi na kijamii zimeonesha na zinaoesha umuhimu wa ndoa
- Mazingira ya kijamii yanaonesha namna wanandoa wanavyoepuka msongo wa mawazo kwa kuishi vema
Changamoto za ndoa
- Masahafu ya Quran Tukufu na Biblia yameanukuu hadithi zinazoakisi changamoto za ndoa
- Tafiti za kisayansi na kijamii nazo zimeonesha na zinaoesha changamoto za ndoa
Maoni yangu
- Ukichukua changamoto za ndoa, ukazijadili huku ukishibisha mifano ya changamoto hizo kasha ukahitimisha ati ndoa ni unafiki, hitimisho lako nibaki kuwa jepesi maana limebobea kwenye ushahidi wa upande mmoja.
- Hitimisho zuri la mada/hoja yako lingebeba pia namna ndoa inavyoisaidia jamii na namna ndoa inavyoibomoa jamii. Hapo hitimisho lako lingekuwa zito.
NB: Ni imani yangu kuwa waweza kujazia nyama dondoo hapo juu.
haija halalishwa na nani au nini??
unajua maana ya ''kama''?
Ndoa ni nini?
kwanini huo uzinzi haujahalalishwa?
kama haina jipya ina lipi?
niambe maana ya kuoa halafu niambie umeo au la**
nini kinafanywa ndani ya ndoa?
A+B is a value
but
A+B=Is a question to an answer
what makes you think you are conducting a marriage system
Hivi unajua nakusubiri tufuturu??
mume Wangu .., baba wa kijacho wangu lini utarejea
Mpwa samari mkuu
Kila mmoja akimvumilia mwenzake ndipo kunapatikana neno KUVUMILIANA.Huwa najiuliza,
Hivi kwenye ndoa ni KUVUMILIA au KUVUMILIANA?