Marriage Is a Hypocritical Institution Part 2, Kauli sifuti ng'o

Nakuunga mkono 100% ni ukweli mtupu, safi sana kama ulikuwepo kwenye akili yangu! Ukweli lazima uongelewe, tatizo la watu wanajifariji hata kama wanaungua!
 
Una hoja nzuri sana lara 1.

Nikuombe tu ukajifunze juu ya watu hawa wawili halafu utajua kwa nini hoja yako inapingwa na wengi.

1. Robert Mugabe
2. Nelson Mandela

NB: Wote walikuwa maraisi wa kwanza wa nchi zao, walipigania uhuru wa nchi zao, walifungwa kwa ajili ya uhuru wa nchi zao.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hapa unazungumzia umuhimu wa ndoa na si kama ndoa ni taasisi yenye unafiki au lah! Mtu kuolewa au kuto olewa hakuondoi ukweli wa hii taasisi kuwa hypo!
 
Last edited by a moderator:

Mandela HE WHO FORGAVE THE WHITES WHO WASTED HIS YOUTH, IMPRISONED HIM, AND MUDDERED HIS COMRADES BUT COULD NEVER FORGIVE HIS WIFE AND THE MOTHER OF HIS CHILDREN! Who am i to judge? I guess some scars RUN SO DEEP! EVEN TIME CANT HEAL THEM!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…