Unaowazalisha wanafunzi wa secondary??
Maana usijidanganye unawazalisha kumbe nao wanataka mbegu tu sio wewe
huo ndo ukweli wanawake wengi tunafunika kombe mwanaharamu apite
%chache wanaowapelekesha waume zao hawapendwi na ndg wa kiumeni na wanaitwa wachawi wameroga kaka zao
Naongea hv nipo ndoani na ninaziona za watu pia
Hahahaa haaaa
Nimekuja HOE
Kumbe Mgirik ndo chanzo?
Ww.mgirik umefanyaje tena?
Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
Hehee
Basi na.mi nipo njiani kuitwa mchawi ....
Manaake mume akuwa anakusikikiza kila kitu unaonekana mbaya kweli
Mi sioni kama kuna haja ya mtu kutoka povu hapa.huo ni mtazamo wa lara 1,njoo na wewe na mtazamo wako prove her wrong kwa hicho anachokidhan kuhusu ndoa.watu mnatukana ndio tujue mnahasira sana?
Behave urself bwana hapa ni kwa greater thinker kama huwezi kulumbana kwa hoja piga kimya na kama kimekuchoma achana na hii thread kwan lazima kuisoma,
Nashukuru sana Tyta kwa kuuleta huu uzi,huo unafiki uliosemwa hapo ni kuuonya wanandoa wanawake wawe na pendo la dhati lakini haujasema kwamba ndoa zao ni unafiki,lakini hii haifanyi kwamba taasisi hii ni ya unafiki,mm Everlenk nikizini nihukumiwe mm kama mm lakini haitufanyi sisi wanadamu wengine tukahukumu ndoa yako Tyta ni unafiki kwasababu mm nimezini.Ukweli ubaki kuwa ukweli.
Hahahahahahaa! Tukana baba tukanaaa! Me kuruhusu mieeee!Mbona unanata wewe are yiuy sure yeye hatukana ongelea Tania ya matusi siyo nzuri but stop been bias data Hugo lala0 anamdomo mchafu sana! Afu ajue anaongea na wanaume tena wakiafrica. Tatizo mada inamzid umri akajadili na wavulana kuhusu Uboyfrnd na Ugirlfriend mambo ya ndoa atuachie aache kiranga! Lala0 behave as the girl shiiit.
Mbona unanata wewe are yiuy sure yeye hatukana ongelea Tania ya matusi siyo nzuri but stop been bias data Hugo lala0 anamdomo mchafu sana! Afu ajue anaongea na wanaume tena wakiafrica. Tatizo mada inamzid umri akajadili na wavulana kuhusu Uboyfrnd na Ugirlfriend mambo ya ndoa atuachie aache kiranga! Lala0 behave as the girl shiiit.
Hehee
Basi na.mi nipo njiani kuitwa mchawi ....
Manaake mume akuwa anakusikikiza kila kitu unaonekana mbaya kweli
HAHAHAAAA! Kwa hi wanandoa ni wanafiki?
Hahahaaa! KWA WAKINIOA MTAPUNGUZA KUACHIKA, KUKAZWA NJE, KUTOA MIMBA, WATAWAHI KURUDI NYUMBANI, HAWATO WASUSA HAMU KUSHNEY, WATAACHA KUZAA NJE? Kama kuniwowa wao kutaiokoa dunia niko tayari!nyie wanaume wa JF, hebu muoeni huyu bidada ili aache kutuonea wivu na ndoa zetu
Ha ha umetisha mkuu
Hehee
Basi na.mi nipo njiani kuitwa mchawi ....
Manaake mume akuwa anakusikikiza kila kitu unaonekana mbaya kweli
Hahaaaa! Kama kuna WANAFIKI HUMO NDANI YA TAASIS HUMOOO, What is left? Ujue unafiki ni contageous disease? Hahhaaa!
Hahahaaa! Hata ukitia huruma WANAFIKI NDIOOO! Unafiki ndo uliwafanya MYASAHAU IN THE FIRST PLACE!Tukijikumbusha majukumu yetu tumekuwa wanafiki?
Kwa hilo sikubaliani na wewe hata kidogo ukweli ubaki ukweli,kidawa ambaye hajaolewa akiwa malaya haitufanyi sisi tuseme singles wote ni malaya,ukweli ubaki kuwa ukweli.