tricecriss
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 225
- 59
Mi sioni kama kuna haja ya mtu kutoka povu hapa.huo ni mtazamo wa lara 1,njoo na wewe na mtazamo wako prove her wrong kwa hicho anachokidhan kuhusu ndoa.watu mnatukana ndio tujue mnahasira sana?
Behave urself bwana hapa ni kwa greater thinker kama huwezi kulumbana kwa hoja piga kimya na kama kimekuchoma achana na hii thread kwan lazima kuisoma,
Behave urself bwana hapa ni kwa greater thinker kama huwezi kulumbana kwa hoja piga kimya na kama kimekuchoma achana na hii thread kwan lazima kuisoma,