Kingmairo
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 4,936
- 3,542
Hizo nguvu za kuniombea jiombee tu wewe shosti na wasio na waombezi, mimi niko fiti bin fiti. Niko front row hapa nakamua!
Sema nipo fiti kwa kudra za mwenyezi Mungu......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo nguvu za kuniombea jiombee tu wewe shosti na wasio na waombezi, mimi niko fiti bin fiti. Niko front row hapa nakamua!
Ninayosema ni kweli kwasababu ni uzoefu wa kwenye ndoa yangu na si mambo ya kusikia au kusimuliwa na sizungumzii maisha ya mtu mwingine bali ni mimi na ndoa yangu, unlike lara 1
Sihitaji kujua kuwa mleta thread ni me au ke, ila maudhui ya ujumbe wa muhusika hayaendani na hali halisi kwani ayasemayo ni ya kusikia,kusimuliwa na hana hata chembe ya uzoefu huo...very sad.
Huko yanatendeka, huku hayatendeki...niko kwenye ndoa na sijapata karaha azisemazo huyu dada, sijawahi kuwaza kumtaliki mwenza wangu...hata nikiangalia marafiki zangu,ndugu zangu wako poa na familia zao...matatizo/mafarakano yapo...yes kuna sababu zipelekeazo ndoa kuvunjika lakini the bottom line is hayo yote hutokea pasipokutegemea,hata ukiwa mseja waweza kukumbwa na dhoruba hilo.
Fanya uchunguzi,washabikiao michepuko na kupinga utulivu katika mahusiano wengi wao wako single au wanajifurahisha tu kwa kuiga tabia mbaya-wanatupa karata zao za bahati ili waokoteze mipira iliyokufa,na wanawapataga.
Hayo ya kufulishwa n.k umeyasikia wapi,ukiona hivyo ujue mke mwenyewe amekubaliana na hali, mbona hata ma-bf,gf wanafuliana tu...kumfulia au kumpikia mwenza wako si tatizo (change that perception) ndoa ni hatua...wanaokurupuka hukutwa na hayo ambayo wewe na lara 1 mnayoona ni sahihi.
Tatizo lenu women wa aina yako wewe na lara 1 mmekuwa created or raised with unrealistic impression of what marriage is or is supposed to look like...ukienda na mawazo hayo utashindwa hata kuishi mwenyewe...lazima muwe na matumaini na kukubali mabadiliko (optimism).
Hata sikubaliani nanyi.
Bila shaka unakubaliana na mtoa mada!
Hayo mengine yako nje!
Daaaaaaah! Ngoja nilale wadau! Maana ubishani huu kwapa lote hoi kwa kutype! Kama nalipwaaaa!
You know woram seyying???
Ni kweli life is more than marriage lakini marriage is one way to life....hivyo kwa watu ambao wanaona hiyo ndo njia yao to life, nyie ambao hamuioni kwanini mnataka kuwakatisha tamaa? Hatukatai dosari hazikoseni kwenye ndoa, lakini mnautoa wapi uweledi wa kujifanya ndo makungwi wa kuzijua hizo dosari wakati hampo kwenye njia hiyo?
Sio kweli mkuu, hauwezi kusema mboga hii haina chumvi wakati haujaionja na wala ww sio mpishi
Hahaha yani humu humu unakataa na humu humu una kubali!Ninayosema ni kweli kwasababu ni uzoefu wa kwenye ndoa yangu na si mambo ya kusikia au kusimuliwa na sizungumzii maisha ya mtu mwingine bali ni mimi na ndoa yangu, unlike lara 1
Sihitaji kujua kuwa mleta thread ni me au ke, ila maudhui ya ujumbe wa muhusika hayaendani na hali halisi kwani ayasemayo ni ya kusikia,kusimuliwa na hana hata chembe ya uzoefu huo...very sad.
Huko yanatendeka, huku hayatendeki...niko kwenye ndoa na sijapata karaha azisemazo huyu dada, sijawahi kuwaza kumtaliki mwenza wangu...hata nikiangalia marafiki zangu,ndugu zangu wako poa na familia zao...matatizo/mafarakano yapo...yes kuna sababu zipelekeazo ndoa kuvunjika lakini the bottom line is hayo yote hutokea pasipokutegemea,hata ukiwa mseja waweza kukumbwa na dhoruba hilo.
Fanya uchunguzi,washabikiao michepuko na kupinga utulivu katika mahusiano wengi wao wako single au wanajifurahisha tu kwa kuiga tabia mbaya-wanatupa karata zao za bahati ili waokoteze mipira iliyokufa,na wanawapataga.
Hayo ya kufulishwa n.k umeyasikia wapi,ukiona hivyo ujue mke mwenyewe amekubaliana na hali, mbona hata ma-bf,gf wanafuliana tu...kumfulia au kumpikia mwenza wako si tatizo (change that perception) ndoa ni hatua...wanaokurupuka hukutwa na hayo ambayo wewe na lara 1 mnayoona ni sahihi.
Tatizo lenu women wa aina yako wewe na lara 1 mmekuwa created or raised with unrealistic impression of what marriage is or is supposed to look like...ukienda na mawazo hayo utashindwa hata kuishi mwenyewe...lazima muwe na matumaini na kukubali mabadiliko (optimism).
Hata sikubaliani nanyi.
Naona mnabishana bure wakiolewa wote sisi tusiotaka kuoa tutato omba wapi jaman?
Hao waliokata tamaa ndio rizki zetu nasisi. Long liive lara 1 nakupa heko mm sina mpango wa kuoa naogopa kufa kwa presha utakuwa mwendo wa kuwatandika mimba tu
Main point yangu ni kuwa KWENYE TAASIS HIO KUNA CHANGAMOTO PIA??? Sasa wengine hapa ndo wanapobishaaaa! Wanadai kule MAMBO TAMBARAREZZZ YOU KNOW! Huku tu Single ndo kuna changa moto?
nadhani mjadala utaisha kwa hilo jibu hapo chini
ladyfurahia watajifanya hawaoni hapo
Hiyo ni nidhamu ya woga uoga wa mtu ndo umaskini wako mkuu huwezi kuogopa kuingia sehemu hamna kitu kibaya kama uoga.duniani na kila kitu kinachomtokea mtu kwanza huanza ku.create image flani ya hofu kushindwa kwahyo hapo tayari umesha creat ku fail tayar kwenye mind na ukiingia lazima ya kushinde tu penda kuwa mwenye uthubutu kwenye life usipende ku learn kwa failures it will cost you aisee
Kwa point hii upo nje kabisa ya principles za mahusiano yoyote yawe ya kijamii, kiuchumi hata kisiasa. Mahusiano yoyote kuna ku-compromise na element kubwa ya ku-compromise ni kuforego or lower down your interest na kukubaliana na interest za second part then you establish the balance. Hii kwa kifupi ni kuvumiliana ili mtengeneze mutual relations. Ipo kila sehemu kwenye business, transanctions, political relations, social relations etc. Sasa kama ikitokea kwenye ndoa unaiita hypocrisy wakati wewe mwenyewe ni principle ambayo haipiti siku umeitumia in other contexts then you are eating your back!
Great!
Nimefurahi umetambua uwepo wa changamoto za ndoa. Wanaobisha kuwa ndoa haina changamoto wanapaswa kuelimishwa tu wataelewa. Lara1, Hata hivyo, changamoto za 'single' ni nyingi na ngumu sana kuzidhibiti tofauti na changamoto za ndoa. Tukiachana na suala la kulinganisha makundi haya. Hoja yangu ni kuwa, hitimisho lako lilitazama changamoto pekee, laiti lingetazama na faida za ndoa, ni wazi ungepata kigugumizi kuhitimisha uliyohitimisha. Hilo tu.