Marriage Is a Hypocritical Institution Part 2, Kauli sifuti ng'o

hahahahaaa my lungs plz spare them uwii""you narrow minded "",,so huo ndo uelewa wako..umeishia hapoo''okeyy now I understand you''i forgive you it ain't your fault hommy!""""!!,ofcz tupo tfauti level zangu bado Sanaa kumbe unatakaje sasaa nukuprovie kuwa am happily married au maana ushaanza kuongelea na status Status yangu ya ndoa heheheeh what's your point anyway'''
 
Last edited by a moderator:
Ndiyo,umeishia hapo...!

My point ni kwamba, subiri upepo wa vuguvugu hili upunge ili nikuchepukie huko kwenye level zako za broad-minded!!
 
Ndiyo,umeishia hapo...!

My point ni kwamba, subiri upepo wa vuguvugu hili upunge ili nikuchepukie huko kwenye level zako za broad-minded!!

Hahahaahh""kwakwwli I do forgive you"!,it wasn't your fault that you were born with a little brain,so I forgive youuuuu...povu povuuu bla hoja it help you nothing"doooooooh
 


Kwani humu watu kila wanachoongea ndio maisha halisi wanayoishi???

Mada zingine ni kama debates za shule....
unaamua tu uwe upande gani hata kama hauna maslahi
 
Last edited by a moderator:
aaaahhhhhh, tukafuturu kwanza leo kwa babu Dark City halafu tutaona kama tutaalikana Eid........
Haya mambo mengine yanayoongelewa mimi huwa nasemaga hakuna umuhimu wa kutumia nguvu nyiiingiiiii kumwelewesha mtu ambaye tayari ana wazo fulani katika mind yake...... either mtaishia kutokuelewana or utaishia kukubaliana na mawazo yake....... Kila la heri rafiki
 
Last edited by a moderator:

Kufuru leo ni muhimu kiasi kwamba hata mwezi umetii.

Karibu sana.
 

Hahahaa rafik Fixed Point.....mi hapa nimeshamaliza, ndo.nasubiri tu mwaliko..hivi babu Dark City yuko serious kufuturisha leo? Mi ntafuturisha kesho
 
Last edited by a moderator:
Haaa lara 1 ww bana tukutane Iddi tu tumalizane nje ya mahakama😛
 
Last edited by a moderator:

She better keep quiet.
 
Utapata wapi muda wa kuuza nyapu ukiolewa?
 

Karibu sana......ingawa mimi bado niko kwenye mfungo........
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…