Marriage Is a Hypocritical Institution Part 2, Kauli sifuti ng'o

Kuwa na hakika kuwa ni uelewa wangu au wa kwako ni mdogo...obvious yours!

Nisingesomeka usingeweza kujibu hata hicho ilichokiandika pia.

Comments zangu haziko kukubishia wewe ujifanyae una ndoa wakati sounds zako zote ni za kuchepukwa tu,naeleza nielewavyo mimi kwa uzoefu wangu na walioelewa uzi wa lara 1 kama mimi BASI.

Usilazimishe nikuelewe wakati hueleweki.

Sina muda wa kelele zako tena bse tunatofautiana sana tu.
hahahahaaa my lungs plz spare them uwii""you narrow minded "",,so huo ndo uelewa wako..umeishia hapoo''okeyy now I understand you''i forgive you it ain't your fault hommy!""""!!,ofcz tupo tfauti level zangu bado Sanaa kumbe unatakaje sasaa nukuprovie kuwa am happily married au maana ushaanza kuongelea na status Status yangu ya ndoa heheheeh what's your point anyway'''
 
Last edited by a moderator:

Ndiyo,umeishia hapo...!

My point ni kwamba, subiri upepo wa vuguvugu hili upunge ili nikuchepukie huko kwenye level zako za broad-minded!!
 
Hahahaahh""kwakwwli I do forgive you"!,it wasn't your fault that you were born with a little brain,so I forgive youuuuu...povu povuuu bla hoja it help you nothing"doooooooh
 
Kuwa na hakika kuwa ni uelewa wangu au wa kwako ni mdogo...obvious yours!i

Nisingesomeka usingeweza kujibu hata hicho ilichokiandika pia.

Comments zangu haziko kukubishia wewe ujifanyae una ndoa wakati sounds zako zote ni za kuchepukwa tu,naeleza nielewavyo mimi kwa uzoefu wangu na walioelewa uzi wa lara 1 kama mimi BASI.

Usilazimishe nikuelewe wakati hueleweki.

Sina muda wa kelele zako tena bse tunatofautiana sana tu.

Kwani humu watu kila wanachoongea ndio maisha halisi wanayoishi???

Mada zingine ni kama debates za shule....
unaamua tu uwe upande gani hata kama hauna maslahi
 
Last edited by a moderator:
Nimekuelewa na hii ina maana upo ndoani mambo safi kabisa big up kwa shemeji

Unajua kinachobishaniwa hapa kidogo sana

Ndoa kama taasisi hatuwezi kuiita ya kinafiki

Wanandoa wanaweza kuwa wanafiki(baadhi) na hiyo ni kawaida kabisa.

Na huo unafiki si kwenye taasisi ya ndoa tu..hata taasisi nyingine...upadre na mapadre, mwadhini na kuadhini, Rais na Urais, udaktari na madaktari, the list is endless.

Baada ya kusema hayo, tafadhali nasubiri mwaliko wa Eid kutoka kwa wafuatao: Heaven on Earth Kaunga Fixed Point lara 1 Mtambuzi miss neddy miss chagga sister Jeska Madame B everlink ICHANA
aaaahhhhhh, tukafuturu kwanza leo kwa babu Dark City halafu tutaona kama tutaalikana Eid........
Haya mambo mengine yanayoongelewa mimi huwa nasemaga hakuna umuhimu wa kutumia nguvu nyiiingiiiii kumwelewesha mtu ambaye tayari ana wazo fulani katika mind yake...... either mtaishia kutokuelewana or utaishia kukubaliana na mawazo yake....... Kila la heri rafiki
 
Kufuru leo ni muhimu kiasi kwamba hata mwezi umetii.

Karibu sana.
 
aaaahhhhhh, tukafuturu kwanza leo kwa babu Dark City halafu tutaona kama tutaalikana Eid........
Haya mambo mengine yanayoongelewa mimi huwa nasemaga hakuna umuhimu wa kutumia nguvu nyiiingiiiii kumwelewesha mtu ambaye tayari ana wazo fulani katika mind yake...... either mtaishia kutokuelewana or utaishia kukubaliana na mawazo yake....... Kila la heri rafiki

Hahahaa rafik Fixed Point.....mi hapa nimeshamaliza, ndo.nasubiri tu mwaliko..hivi babu Dark City yuko serious kufuturisha leo? Mi ntafuturisha kesho
 
Last edited by a moderator:
Haaa lara 1 ww bana tukutane Iddi tu tumalizane nje ya mahakama😛
 
Last edited by a moderator:
hhmmmmm... struggle to make a point, that isnt a point at all

"None of us can claim to be fair and square in love - and I'm definitely not a hypocrite! Humans are built to evolve with time. It depends on the nature of the relationship you share with a person. It is there today, tomorrow it may be gone; c'est la vie."

Randeep Hooda

She better keep quiet.
 
Nimekuelewa na hii ina maana upo ndoani mambo safi kabisa big up kwa shemeji

Unajua kinachobishaniwa hapa kidogo sana

Ndoa kama taasisi hatuwezi kuiita ya kinafiki

Wanandoa wanaweza kuwa wanafiki(baadhi) na hiyo ni kawaida kabisa.

Na huo unafiki si kwenye taasisi ya ndoa tu..hata taasisi nyingine...upadre na mapadre, mwadhini na kuadhini, Rais na Urais, udaktari na madaktari, the list is endless.

Baada ya kusema hayo, tafadhali nasubiri mwaliko wa Eid kutoka kwa wafuatao: Heaven on Earth Kaunga Fixed Point lara 1 Mtambuzi miss neddy miss chagga sister Jeska Madame B everlink ICHANA

Karibu sana......ingawa mimi bado niko kwenye mfungo........
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom