Marriage Is a Hypocritical Institution Part 2, Kauli sifuti ng'o

Ngoja nikafwatilie nguo yangu ya sikukuu kwa fundi rafiki......
Eid bila nguo mpya hainogi, hasa ukiwa na uhakika wa kula pilau

Halafu huyu fundi Mrisho ana tabia mbaya ukifika hadi akuweke mwambie sitaki ivo rafiki..
 
\\

Hapo penye red panamhusu huyu mtu! Inaelekea anapenda sana kutembea na WAUME ZA WATU, ndio maana anahalalisha na vejiverse kwenye bible, ambavyo yeye mwenyewe anakiri kuwa wahusikia waliomba msahama kwa Mungu baada ya kujua kuwa ni kosa kuchepuka!
 
CALM DOWN...
Kwa hiyo ukweli usisemwe?maisha si kuolewa au kuoa tu.. ndoa ina tabia ya unafiki kiasili

Kama ndivyo basi sio ndoa tu hata maisha unayoishi kila siku kuanzia nyumbani kwako mtaani hadi kazini ni full unafiki. Iweje mje kuzungumzia ndoa tu.
 

Huyu ataingizwa ndani sio kuolewa.
 
Last edited by a moderator:

Unajua lara 1 theres something about you ambacho watu nahisi hatuelewi.Ivi may you just clear the doubts here why are you so negative about relationships na ndoa and all that.yaani ww ni revolutionist kwel kwel i gues ingekua in your power ungepitisha ndoa za mkataba Tanzania where mtu akiona the nxt party hasomeki anaweza sepa kwa mda wake and in peace.so may u please give us your experience in either marriage au rships au hata several situations that have crossed your path or whatever and maybe wanajukwaa tutakuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…