Lipi ambalo halisemwi? Kwenye harusi nyingi mtu alikuwa akipewa nafasi ya nasaha ilikuwa lazima aanze kusema NDOA NI MSALABA,atapiga tantarita zote,mpka ikafika mahali watu wakakatazwa kusema hivyo wakihoji mbona mnatisha watoto hakuna jema kwenye ndoa?