Marriage Is a Hypocritical Institution Part 2, Kauli sifuti ng'o

life is more than marriage.... its just a matter of play your card well...ndoa imesababisha mengi humu duniani mabaya na mazuri .... any way we are waiting kwa hao amabo wanaushuhuda mzuri na mbaya pia

upo gizan dogo naona unashawishika na maused lakn naamin umri ukifika utakuja kunambia
 

Kumekucha na makucha yake...
 
CALM DOWN...
Kwa hiyo ukweli usisemwe?maisha si kuolewa au kuoa tu.. ndoa ina tabia ya unafiki kiasili

unajua ukweli ni nini?
jazba unaipimaje?kwa neno mjinga ama?nawe basi mjinga vilevile

silazmishi mtu aolewe ila nasema ndoa ina maana kubwa,na makosa si ya ndoa ni ya wanandoa,sio unaniparamia chumba cha mazoezi ,utavunjwa viungo
 
upo gizan dogo naona unashawishika na maused lakn naamin umri ukifika utakuja kunambia

Sipo gizani mkuu ila naamini ndoa nyingi zinashida ....ila kiuna ndoa chache zinafuraha .... umeoa wew.?
 
kweili best uliyoyaongea ipo siku atatambua raha na chungu ya ndoa
ndipo atakumbuka haya sina cha kusema na mm yangu macho tu hapa laazizi
 
lara 1

Yawezekana uliumizwa sana na "mahusiano" yako ya "kwanza"... Perhaps "ulibakwa"....! Ni hilo tu...!
SIJABAKWA WALA SIJAUMIZWA NA YOYOTE! Kama mimi MUONGO TOA HOJA BABA! Mimi ni mtu mmoja kumbuka ila hio risala imehusisha general observation ya jamiii!

IF ITMAKES YOU SLEEP AT NIGHT YOU CAN KILL THE MESSEGER BUT IT WONT CHANGE THE CONTENT. OF THE MESSAGE!
 
"Mwanamume . . . atashikamana na mke wake nao watakuwa mwili mmoja."-MWANZO 2:24.

MUUMBA wetu, Yehova Mungu, alianzisha ndoa ikiwa kifungo cha kudumu kati ya mwanamume na mwanamke. Andiko la Mwanzo 2:18, 22-24 linasema hivi: "Yehova Mungu akaendelea kusema: ‘Si vema huyo mwanamume aendelee kuwa peke yake. Nitamfanyia msaidizi, awe kikamilisho chake.' Na Yehova Mungu akaufanya ubavu ambao alikuwa ameuchukua kutoka kwa mwanamume kuwa mwanamke na kumleta kwa huyo mwanamume. Ndipo huyo mwanamume akasema: ‘Mwishowe huyu ni mfupa wa mifupa yangu na nyama ya nyama yangu. Huyu ataitwa Mwanamke, kwa sababu huyu alitolewa katika mwanamume.' Hiyo ndiyo sababu mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye atashikamana na mke wake nao watakuwa mwili mmoja."




unajua ukweli ni nini?
jazba unaipimaje?kwa neno mjinga ama?mawe basi mjinga vilevile

silazmishi mtu aolewe ila nasema ndoa ina maana kubwa,na makosa si ya ndoa ni ya wanandoa,sio unaniparamia chumba cha mazoezi ,utavunjwa viungo
 
sometimes stress zinasababisha mtu kukomaa kuponda jambo ili moyoni mwake apate temporary relief.
WEWE ULIE NA FURAHAAAA TELEEE HAYA TETEA JAMBO LAKO BASI KWA POINT! Hahahaaaaaaa! Si mlitaka facts nyie na reference? Kitu hiko!
 
Evolving itself results to HYPOCRICY maana wakati unamuahidi mtu, au ulijua fika mtu ana expectations flani na huku disclose YOUR INTREST MAY CHANGE!

Till death do you apart! REMEMBER! Not till my INTEREST CHANGES I PROMISE ....... ( Wazungu ndo wanafanya hii saivi)
 
WEWE ULIE NA FURAHAAAA TELEEE HAYA TETEA JAMBO LAKO BASI KWA POINT! Hahahaaaaaaa! Si mlitaka facts nyie na reference? Kitu hiko!

Tuanze hapo kwenye mifano ya kwenye bible uliyoitoa.
Kwanza Samson na Delilah hawakuwa wanandoa. nimeshangaa lengo lako ilikuwa ni ku'prove point yako lakini mfano umeutoa kwa watu ambao hawakuwa wanandoa. Ni kusudi au huijui bible?
 

Hio part ina REFERENCE kabisaaaa! Maybe because you never thought things from that angle!
 
Mhhhhhhhhhhh kazi kweli kweli.........

Ndoa niheshimiwe na watu wote VS Marriage is a HYPOCRITIC institution
 
Watu wanajaribu tu kutia doa taasisi hii ya NDOA...kwa kifupi tatizo ni watu na wala sio ndoa
NDOA NI NINI AMA MUUNGANIKO WA NANI KAMA SIO WATU? How can you even think of separating the two? Kuna weza kuwa na ndoa pasipo watu? Mbona hamna NDOA ZA WANYAMA? Ndo maana nikafanya ile SIMPLE CALCULATION!

Je reallistically as long as kuna watu wabaya maybe, je probability yeyote ya kutokea ndoa nzuri.?
 
Amekwisha zoea kuzipima ndefu, fupi, nene,nyembamba kwa hiyo kumiliki moja hawezi tena kwa Ukahaba alio nao
 
then hujui maana ya hypocrisy... promise, breaking promise and unafiki ni vitu tofauti

that sums up everything

walk on.... and get "USED"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…