Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
life is more than marriage.... its just a matter of play your card well...ndoa imesababisha mengi humu duniani mabaya na mazuri .... any way we are waiting kwa hao amabo wanaushuhuda mzuri na mbaya pia
Huna jipya wewe ni yaleyale hakuna mtu anayetaka umaarufu kwako mimi ni maarufu kwa mke wangu hilo tu wewe huwezi kubadili mpango wa Mungu aliyeona ndoa ni kitu muhimu na wanandoa wanajua hilo.
Eti nini nasafiria nyota yako? nyota ya umalaya na ukahaba,kichwa ngumu ni safirie mimi ng`wana ong`wa kulwa!!!!!!! tehetehe
Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
CALM DOWN...
Kwa hiyo ukweli usisemwe?maisha si kuolewa au kuoa tu.. ndoa ina tabia ya unafiki kiasili
upo gizan dogo naona unashawishika na maused lakn naamin umri ukifika utakuja kunambia
nimsaidie nini lara 1? kwani huyu mtoto hadi asaidiwe? she is matured, ana degree huyu mpaka cpa kapewa, keshafikia kiwango cha kupambanua baya na jema...
Mi wala sijashabikia jambo lolote.... Hoja ililetwa majuzi na mwenzetu ambaye yuko ndoani, akaeleza A to Z on what is IN, lakini lara 1 anaeleza anavyona yeye.
tusubiri akishaolewa maybe ataona utam na uchungu wa ndoa....
SIJABAKWA WALA SIJAUMIZWA NA YOYOTE! Kama mimi MUONGO TOA HOJA BABA! Mimi ni mtu mmoja kumbuka ila hio risala imehusisha general observation ya jamiii!lara 1
Yawezekana uliumizwa sana na "mahusiano" yako ya "kwanza"... Perhaps "ulibakwa"....! Ni hilo tu...!
CALM DOWN...
Kwa hiyo ukweli usisemwe?maisha si kuolewa au kuoa tu.. ndoa ina tabia ya unafiki kiasili
unajua ukweli ni nini?
jazba unaipimaje?kwa neno mjinga ama?mawe basi mjinga vilevile
silazmishi mtu aolewe ila nasema ndoa ina maana kubwa,na makosa si ya ndoa ni ya wanandoa,sio unaniparamia chumba cha mazoezi ,utavunjwa viungo
Evolving itself results to HYPOCRICY maana wakati unamuahidi mtu, au ulijua fika mtu ana expectations flani na huku disclose YOUR INTREST MAY CHANGE!hhmmmmm... struggle to make a point, that isnt a point at all
"None of us can claim to be fair and square in love - and I'm definitely not a hypocrite! Humans are built to evolve with time. It depends on the nature of the relationship you share with a person. It is there today, tomorrow it may be gone; c'est la vie."
Randeep Hooda
WEWE ULIE NA FURAHAAAA TELEEE HAYA TETEA JAMBO LAKO BASI KWA POINT! Hahahaaaaaaa! Si mlitaka facts nyie na reference? Kitu hiko!
Huwaga nikisoma thredi zako bestito unaniacha kizungumkuti sijui kwanini haya ona sasa na hii inimepaste:
Hypocrisy kwenye hii institution haijaanza kwenu wala haishii kwenu, IPO DOCUMENTED MPAKA KWENYE HISTORICAL BOOKS KAMA BIBLE! Mfalme Daudi alikuwana ndoa zake, ila alimpanga jeshini death row yule mjeda ili ale vya mwenzie. Ofcourse alitubu na nini. Delila nae alifanya hypocrisy ya kummaliza Samson. Abraham na mjakazi wake nao waliteleza. Adam na hawa nao? Tena walikuwa paradiso mtakuwa nyie? Hahaaa! No offence intended nawavuta tu sharubu! Hosea na Gomar.? Hypocricy ilivozidi ikabdi mtu mzima Mose aruhusiwe kutoa tamko la TALKA! Wako wanandoa wengi mnooo nitajaza column hiii! Scripture, verses zipo mtu akihitaji! THIS PROVES THINGS WERE NEVER SMOOTH AS YOU IMPLY TO BEGIN WITH! Hahaaaaa!
Hahahaaaa! HII VITA INAITWA LIVE TO DIE ANOTHER DAY! Kila siku inachukua sura mpya!
NDOA NI NINI AMA MUUNGANIKO WA NANI KAMA SIO WATU? How can you even think of separating the two? Kuna weza kuwa na ndoa pasipo watu? Mbona hamna NDOA ZA WANYAMA? Ndo maana nikafanya ile SIMPLE CALCULATION!Watu wanajaribu tu kutia doa taasisi hii ya NDOA...kwa kifupi tatizo ni watu na wala sio ndoa
then hujui maana ya hypocrisy... promise, breaking promise and unafiki ni vitu tofautiEvolving itself results to HYPOCRICY maana wakati unamuahidi mtu, au ulijua fika mtu ana expectations flani na huku disclose YOUR INTREST MAY CHANGE!
Till death do you apart! REMEMBER! Not till my INTEREST CHANGES I PROMISE ....... ( Wazungu ndo wanafanya hii saivi)