its a no brainer...Mhhhhhhhhhhh kazi kweli kweli.........
Ndoa niheshimiwe na watu wote VS Marriage is a HYPOCRITIC institution
Tuanze hapo kwenye mifano ya kwenye bible uliyoitoa.
Kwanza Samson na Delilah hawakuwa wanandoa. nimeshangaa lengo lako ilikuwa ni ku'prove point yako lakini mfano umeutoa kwa watu ambao hawakuwa wanandoa. Ni kusudi au huijui bible?
Hiyo ilikuwa ni intro.Okay MY BAD KWA DELILA! WALIO BAKIA JE? Coz nimetaja wengi wa kutosha na kuonheza naweza!
Hahaaaaa! I guess your comment MAKES MARRIAGE A VERY NOBLE, SACRED INSTITUTION! Btw leo nimeruhusu kamuaaaa babaaa kamuaaaa! Toa nyongo yoooote idi ikukute msafiiii kama theluji!Amekwisha zoea kuzipima ndefu, fupi, nene,nyembamba kwa hiyo kumiliki moja hawezi tena kwa Ukahaba alio nao
Hiyo ilikuwa ni intro.
Back to the topic. Nimegundua kuna vitu viwili unavichanganya navyo ni moja, uvumilivu na pili ni unafiki.
unashindwa kutofautisha hivi vitu viwili.
Ukiona mtu anavumilia haimaanishi kuwa ni hypocryte. Sometimes inabidi umeze mate machungu. huo ndio unaitwa uvumilivu.
Hii ipo sehemu yeyote sio kwenye ndoa tuu hata katika normal friendship.
Tuanze hapo kwenye mifano ya kwenye bible uliyoitoa.
Kwanza Samson na Delilah hawakuwa wanandoa. nimeshangaa lengo lako ilikuwa ni ku'prove point yako lakini mfano umeutoa kwa watu ambao hawakuwa wanandoa. Ni kusudi au huijui bible?
hajui anachoongea huyo DramaqueenHiyo ilikuwa ni intro.
Back to the topic. Nimegundua kuna vitu viwili unavichanganya navyo ni moja, uvumilivu na pili ni unafiki.
unashindwa kutofautisha hivi vitu viwili.
Ukiona mtu anavumilia haimaanishi kuwa ni hypocryte. Sometimes inabidi umeze mate machungu. huo ndio unaitwa uvumilivu.
Hii ipo sehemu yeyote sio kwenye ndoa tuu hata katika normal friendship.
Nadhani na umri wake mdogo pia umechangia.hajui anachoongea huyo Dramaqueen
Hiyo ilikuwa ni intro.
Back to the topic. Nimegundua kuna vitu viwili unavichanganya navyo ni moja, uvumilivu na pili ni unafiki.
unashindwa kutofautisha hivi vitu viwili.
Ukiona mtu anavumilia haimaanishi kuwa ni hypocryte. Sometimes inabidi umeze mate machungu. huo ndio unaitwa uvumilivu.
Hii ipo sehemu yeyote sio kwenye ndoa tuu hata katika normal friendship.
Amekwisha zoea kuzipima ndefu, fupi, nene,nyembamba kwa hiyo kumiliki moja hawezi tena kwa Ukahaba alio nao
Mwanamume . . . atashikamana na mke wake nao watakuwa mwili mmoja.MWANZO 2:24.
MUUMBA wetu, Yehova Mungu, alianzisha ndoa ikiwa kifungo cha kudumu kati ya mwanamume na mwanamke. Andiko la Mwanzo 2:18, 22-24 linasema hivi: Yehova Mungu akaendelea kusema: Si vema huyo mwanamume aendelee kuwa peke yake. Nitamfanyia msaidizi, awe kikamilisho chake. Na Yehova Mungu akaufanya ubavu ambao alikuwa ameuchukua kutoka kwa mwanamume kuwa mwanamke na kumleta kwa huyo mwanamume. Ndipo huyo mwanamume akasema: Mwishowe huyu ni mfupa wa mifupa yangu na nyama ya nyama yangu. Huyu ataitwa Mwanamke, kwa sababu huyu alitolewa katika mwanamume. Hiyo ndiyo sababu mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye atashikamana na mke wake nao watakuwa mwili mmoja.
Wewe ndo unachanganya! KWA HIO PALE KWA KING DAUDI UMEPAKUBALI SIO, FATHER ABRAHAM, ADAM WOTE UMEKOSA PA KUTOKEA!
Turudi unakochanganya wewe
KWANINI MTU AVUMILIE. KITU? NA KWANINI UFANYE KITU SI CHA KUMFURAHISHA MWENZIO KIMFANYE AVUMILIE? UNAFIKI WA MTU MMOJA NDO UNALETA UVUMILIVU KWA MWENZIE! Na kitendo cha kuvumilia kujifanya umeridhika na kitu ama kile kitu kinachofanywa na mwenzio japo shubiri unajionesha uko poa tu pia ni UNAFIKI haijalishi unafanya kwa sake ipi.
Hivyi nyie mnapoigiziwa miukuni ya kila namna na kugugumia maumivu,unaishia kulisifia jamaa si unafiki wenyewe huo?,mnachoropoa mimba halafu uanajifanya unasifia mtoto wa mwenzio mzuri wakati umetoa mimba ya mtoto wako si unafiki huo?
NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE.
Tutambue kwamba hapa duniani kila mtu kaumbwa kivyake na ananyota yake na mipango yake aliyoipanga Mungu.
Kama ww umeumbwa kwaajili ya kustarehesha utakuwa mstareheshaji tu na utaichukia ndoa maisha yako yote hata ueleweshwe na mashehe na mapadre lakn bado utaidis ndoa kwasababu hulka yako ipo kwaajili ya kustarehesha hata kweye vitabu vya dini walikuwepo akina rahabu.
Sio kila mwanamke yupo kwaajili ya kuolewa na kuwa mke.........
Hakuna message ya kuaddress, its a failure to launchHahaaaaaa! AFTER KILLING THE MESSENGER PLEASE ADRESS THE MESSAGE! Au uwezo wako ndo umeishia hapo.?
Wewe ndo unachanganya! KWA HIO PALE KWA KING DAUDI UMEPAKUBALI SIO, FATHER ABRAHAM, ADAM WOTE UMEKOSA PA KUTOKEA!
Turudi unakochanganya wewe
KWANINI MTU AVUMILIE. KITU? NA KWANINI UFANYE KITU SI CHA KUMFURAHISHA MWENZIO KIMFANYE AVUMILIE? UNAFIKI WA MTU MMOJA NDO UNALETA UVUMILIVU KWA MWENZIE! Na kitendo cha kuvumilia kujifanya umeridhika na kitu ama kile kitu kinachofanywa na mwenzio japo shubiri unajionesha uko poa tu pia ni UNAFIKI haijalishi unafanya kwa sake ipi.
Hivyi nyie mnapoigiziwa miukuni ya kila namna na kugugumia maumivu,unaishia kulisifia jamaa si unafiki wenyewe huo?,mnachoropoa mimba halafu uanajifanya unasifia mtoto wa mwenzio mzuri wakati umetoa mimba ya mtoto wako si unafiki huo?
NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE.
Hahaaaaaa! Your argumet level gets lower and lower! KUONGEZEA HIO MIUKUNI NI YA WENZENU MEMBA WA KUAMINIKA NDANI YA HIO TAASISI! Upo hapo mwenyekiti? Hahaaaaaaa!