Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
NDOA NI NINI AMA MUUNGANIKO WA NANI KAMA SIO WATU? How can you even think of separating the two? Kuna weza kuwa na ndoa pasipo watu? Mbona hamna NDOA ZA WANYAMA? Ndo maana nikafanya ile SIMPLE CALCULATION!
Je reallistically as long as kuna watu wabaya maybe, je probability yeyote ya kutokea ndoa nzuri.?
Ni kweli kwamba dhana ya ndoa haiwezi kukamilika kama hakuna uhusika wa wanadamu ingawaje kwa namna ya uumbaji practice ya ndoa hufanywa hata na wanyama pia.
lara 1 labda nianze mbali kidogo kwa kutumia misemo hii miwili:
Kazi ya ngazi fulani inapotangazwa na kampuni au taasisi fulani kuna mambo wawili huweza kutokea baada ya usahili.
1. Kazi kupata mtu (Kazi imepata mtu)
2. Mtu kupata kazi (Mtu kapata kazi)
Katika scenarios zote mbili hapo juu ni kweli kuwa ile nafasi ya kazi iliyotangazwa tayari inakuwa imepata mhusika.
Lakini kwa tafakari ya kina, mchakato nambari moja ndio wenye matokeo mazuri kuliko mchakato nambari mbili.
Ndivyo ilivyo hata kwa taasisi hii ya NDOA, NDOA inaweza kupata watu stahiki vilevile watu wasio haki huweza pia kupata (kutengeneza) ndoa.
Last edited by a moderator: