Marriage Is a Hypocritical Institution Part 2, Kauli sifuti ng'o

Marriage Is a Hypocritical Institution Part 2, Kauli sifuti ng'o

NDOA NI NINI AMA MUUNGANIKO WA NANI KAMA SIO WATU? How can you even think of separating the two? Kuna weza kuwa na ndoa pasipo watu? Mbona hamna NDOA ZA WANYAMA? Ndo maana nikafanya ile SIMPLE CALCULATION!

Je reallistically as long as kuna watu wabaya maybe, je probability yeyote ya kutokea ndoa nzuri.?

Ni kweli kwamba dhana ya ndoa haiwezi kukamilika kama hakuna uhusika wa wanadamu ingawaje kwa namna ya uumbaji practice ya ndoa hufanywa hata na wanyama pia.
lara 1 labda nianze mbali kidogo kwa kutumia misemo hii miwili:

Kazi ya ngazi fulani inapotangazwa na kampuni au taasisi fulani kuna mambo wawili huweza kutokea baada ya usahili.

1. Kazi kupata mtu (Kazi imepata mtu)

2. Mtu kupata kazi (Mtu kapata kazi)

Katika scenarios zote mbili hapo juu ni kweli kuwa ile nafasi ya kazi iliyotangazwa tayari inakuwa imepata mhusika.

Lakini kwa tafakari ya kina, mchakato nambari moja ndio wenye matokeo mazuri kuliko mchakato nambari mbili.

Ndivyo ilivyo hata kwa taasisi hii ya NDOA, NDOA inaweza kupata watu stahiki vilevile watu wasio haki huweza pia kupata (kutengeneza) ndoa.
 
Last edited by a moderator:
Its a crime to comment negatively on something which you had not experienced in your lifetime,having an affair is far different than being in marriage institution.
AND I GUESS ACCORDING TO YOU THIS CONCLUDES MARRIAGE IS A VERY NOBLE AND SACRED INSTITUTION? Hulalaaaaaaa!
And it further expalins since i had an affairALL THE ADULTRY, CHEATTING, BASTARD CHILDREN, DOMESTIC VIOLENCE, DIVORCES, BIGAMMY, UNRECONCILABLE DIGFFERENCES WITHIN THE MARRIAGE INATITUTION ARE ALL A RESULT OF MY AFFAIR AND HAS NOTHING TO DO AT ALL WITH MARRIED PEOPLE! Mmmmmmmmmmmmmh! INTERESTING! I PLEAD GUILITY AS CHARGED AND HOPES PUTTING YHE BLAME ON ME SOLVES THE REAL PROBLEM AND RESTORES THE HONOR OF THE ONCE SACRED BUT NOW HYPOCRITIC INSTITUTION!

You made your CASE CRYSTAL CLEAR!
 
Anueonghaseyoooooooooooooooooooooooooo!

Kutokana na watu kusafiria nyota yangu any allegations against me nazijibu kwa thread! Siendi kwenye thread ya mtu maana nakujazia trafic, unapata umaarufu, saivi nakula jasho langu mwenyewe! Mtasnisamehe! Ruksa kuniita Lara 1, jibu nitakupa ila kwa nakijibu kwa thread yangu!

Okaya kwasababu huu mjadala bado unauza tuendelee nao mpaka utakapo acha kuuza.

SIFUTI KAULI MARRIAGE IS A HYPOCRITICAL INSTITUTION 101. Kwa hoja zifuatazo!
1. Mfalme Daudi alikuwana ndoa zake, ila alimpanga jeshini death row yule mjeda ili ale vya mwenzie. Ofcourse alitubu na nini. Delila nae alifanya hypocrisy ya kummaliza Samson. Abraham na mjakazi wake nao waliteleza. Adam na hawa nao? T

2. Increased divorce rates, marriage councelling, maombi na mifungo, vikao vya ukoo, kutimka kwa mapatna, kuzaa na wanawake tofauti tofauti wakati mke unae ndani inaonesha jinsi gani HALI SI SHWARI na upepo unapoolekea siko! Ikiwa mambo ni SWARIIIIIIII ndani ya hio taasis mbona matemdo tuyaonayo kwenye jamii ni CONTRARY na ushswariii? MBA Married But Available mmeongezeka sanaaa siku hizi! Hadi mtu anaamua makusudikally kuzaa na mume wa mtu, na mume anakubali pasipo kushurutishwa na mtu yeyote! HYPOCRARICY KWA BAADHI YENU IMEANZA KUGEUKA CONSPIRACY! Kuzaa nje makusudi ni CONSPIRACY kabisaa hio! Kuiita HYPOCRICY NI UNDERSTATEMENT!

3 The bi.tch KARMA ... kusababisha mwenye unmet expectations akumbwe na kigugumizi cha WHETHER TO REMAIN A LOOSER AND KEEP TRYING HARD OR WALK AWAY! Hapa watoto wa mjini sifa yenu kubwa ni KI WALK AWAY!

4. Kubalini tu kuna baadhi yenu WMEJITAHIDI MNOO KUIPAKA MATOPE HII TAASISI KWA MATENDO YAO yasiyo ya kiungwana na imelipa! Hahaaa! ...

THE FEAST TO KILL THE MESSENGER MAY BEGIN! Hahaaaaa!

Kwa hoja hizi Lara1 hustahili kufuta kauli yako. Kimsingi umefanya la maana kuiweka hapo kwenye footnote yako. Hata hivyo, hoja zako bado ni nyepesi sana kufikia hitimisho ulilofikia maana hoja hizi zote zinaonekana kuwa ni changamoto tu za ndoa, lakini hazitoshi kuchora picha ya ndoa ikakamilika na hata kuhitimisha ulivohitimisha.

Btw, what would you recommend: marriage or not marriage?
 
nimekuelewa mkuu ila hata mm amenishangaza sana sijui kwanini ameamua kuleta thredi ya namna hii yaani nikimfikiria nabakia nimwombee tu ndo kilichobakia
Ujiombee na wewe shosti au ndo HYPOCRICY KUSEMA KWAKO YOTE YA,EKUNYOOKEA IMEBAKIA KUNIOMBEA LARA 1 TUUUUU! Mmmmmmmh.?
 
kwa hoja hizi lara1 hustahili kufuta kauli yako. Kimsingi umefanya la maana kuiweka hapo kwenye footnote yako. Hata hivyo, hoja zako bado ni nyepesi sana kufikia hitimisho ulilofikia maana hoja hizi zote zinaonekana kuwa ni changamoto tu za ndoa, lakini hazitoshi kuchora picha ya ndoa ikakamilika na hata kuhitimisha ulivohitimisha.

Btw, what would you recommend: Marriage or not marriage?

mi nangojea hizo zenu nzito nzitooooo naona watu wanatoa nyongo mwilini hamna, hoja wala mjuu wa hoja, wana tapa tapa tu, busy trying to kill the messenger to avoid the message!
 
tuombeane wote mkuu maana hali ni tete sijui mwanzo na mwisho wake ukoje
Ujiombee na wewe shosti au ndo HYPOCRICY KUSEMA KWAKO YOTE YA,EKUNYOOKEA IMEBAKIA KUNIOMBEA LARA 1 TUUUUU! Mmmmmmmh.?
 
ktk huu mjadala kuna namna si bure kumbe haujaisha tu??
MJADALA NDO HOT CAKE YA SAIVI! Siuachi ngoooo! Nani aanzishe topic idode wakati topic inayouza ipo.? Tunapokezana vijiti tu! Kesho mtu atani jibu to share the glory of this topic! Hahaaaaaaa! Sasa hivi page 10.
 
tuombeane wote mkuu maana hali ni tete sijui mwanzo na mwisho wake ukoje
Hizo nguvu za kuniombea jiombee tu wewe shosti na wasio na waombezi, mimi niko fiti bin fiti. Niko front row hapa nakamua!
 
hahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa sina la kusema ngoja nikodoe macho :A S-eek:maana .......?
Hizo nguvu za kuniombea jiombee tu wewe shosti na wasio na waombezi, mimi niko fiti bin fiti. Niko front row hapa nakamua!
 
Huyu lazima atakuwa aliolewa then akaachika sio hivi hivi!!!
 
Ni kweli kwamba dhana ya ndoa haiwezi kukamilika kama hakuna uhusika wa wanadamu ingawaje kwa namna ya uumbaji practice ya ndoa hufanywa hata na wanyama pia.
lara 1 labda nianze mbali kidogo kwa kutumia misemo hii miwili:

Kazi ya ngazi fulani inapotangazwa na kampuni au taasisi fulani kuna mambo wawili huweza kutokea baada ya usahili.

1. Kazi kupata mtu (Kazi imepata mtu)

2. Mtu kupata kazi (Mtu kapata kazi)

Katika scenarios zote mbili hapo juu ni kweli kuwa ile nafasi ya kazi iliyotangazwa tayari inakuwa imepata mhusika.

Lakini kwa tafakari ya kina, mchakato nambari moja ndio wenye matokeo mazuri kuliko mchakato nambari mbili.

Ndivyo ilivyo hata kwa taasisi hii ya NDOA, NDOA inaweza kupata watu stahiki vilevile watu wasio haki huweza pia kupata (kutengeneza) ndoa.

GOOD! Sasa naomba EVALUATION YA WATENDA KAZI AMBAO WAPO KAZINI TAYARI! Tuanzie hapo!
 
Huyu lazima atakuwa aliolewa then akaachika sio hivi hivi!!!
Okay i guess this reason of yours make MARRIAGE A VERY NOBLE INSTITUTION! Well! What can i say? A noble institution it is! HAHAHAAAAAA!
 
As far as I am concerned, naona ndoa ni aina fulani ya mazoea ya maisha. Eti kwamba ukifika umri fulani basi ili udhihirishe uanaume/uanawake wako lazima upate mwenza wa kuishi naye kwenye kifungo cha maisha kijulikanacho kama ndoa. For me ndoa na jela hakuna tofauti zaidi ya mazingira tu, halafu kingine kinachonifanya nisifikirie kuoa ni ukweli kwamba nshapata karibu kila kitu wanandoa wanachopeana, now what? Hakuna jipya kwenye ndoa.
 
Kwani unafiki unauelezeaje? Maana nikiangalia hata mifano ulotoa nashindwa kukuelewa. Abraham alilala na house girl sio kwa kutaka Bali mkewe alimpA ruhusa sasa unafiki unatoka wapi apo? Otherwise unafiki upo tuu hata bila ya ndoa na ukifanya reference ya bible neno la Mungu halipingiki NDOA NA IHESHIMIWE NA

NASHUKURU UMEKUBALI UNAFIKI UPO! Taasis yenu mmeipeleka siko mjaribu kurudi kwenye mstari!
 
As far as I am concerned, naona ndoa ni aina fulani ya mazoea ya maisha. Eti kwamba ukifika umri fulani basi ili udhihirishe uanaume/uanawake wako lazima upate mwenza wa kuishi naye kwenye kifungo cha maisha kijulikanacho kama ndoa. For me ndoa na jela hakuna tofauti zaidi ya mazingira tu, halafu kingine kinachonifanya nisifikirie kuoa ni ukweli kwamba nshapata karibu kila kitu wanandoa wanachopeana, now what? Hakuna jipya kwenye ndoa.
HAHAHAAAAAAAAAAAAAA! Huku unakokwenda wewe sasa kwingine kabisaaaa! Ila hoja zako nimecheka kwa kweli! MAISHA YAKO CHAGUO NI LAKO!
 
Back
Top Bottom