Marriage Is a Hypocritical Institution Part 2, Kauli sifuti ng'o

Hakuna message ya kuaddress, its a failure to launch

umechanganya madesa hadi yamekuchnganya

hujui ndoa ni nini.... I onced said ni makosa ya malezi mabaya, you ended up taking it personal

a smart person cant always be on attack, umetumika vibaya

Okay i take this as your explanation to why MARRIAGE IS A VERY VERY NOBLE INSTITUTION! Hahahaaaaa! Need i say YOU SURPASSED MY EXPECTATIONS! Im beyond IMPRESSED! Hulalaaaaaaaaaaaa! What a noble institution it is!
 
ndoa ni kama basi la abiria wanaoingia humo kila mtu na tabia yake kama wakimisbehave wachunguzwe abiria husika na sio kusema basi zima hawana maana
Hahaaaa! MI SIJASEMA BASI ZIMA WANA MAANA AU HAWANA! ARGUMENT YANGU NI KUWA HUMOMMWENYE BASI SIO TAMBARAREEEEEEEE! Mna UNAFIKI UNAFIKI ndani yake kama hulka yetu binadamu!
 
Ntuzu muulize maswali huyu slat wa uswazi 😛
 
Last edited by a moderator:
Sikutaka kuingia sana kwa kina Daudi kwasababu nimegundua katika bible upo shalo. ningekupasua kichwa bure. Ahahah!

Hapo kwenye red ndipo tatizo lako lilipo. kwenye ndoa yeyote kati ya mwana ndoa anaweza akamkosea mwenziwe at any time so swala la kuvumiana ni la kwa wote na sio mmoja tuu ndiye awe wa kumvumilia mwenzake.

By the way binadamu hujifunza kutokana na changamoto, hivyo zinapotokea changamoto kwenye ndoa ndiyo zinafanya ndoa iwe strong.

Na ili ujifunze kutoka kwenye hizo changamoto ni sharti uwe na uvumilivu.
 
Hakuna message ya kuaddress, its a failure to launch

umechanganya madesa hadi yamekuchnganya

hujui ndoa ni nini.... I onced said ni makosa ya malezi mabaya, you ended up taking it personal

a smart person cant always be on attack, umetumika vibaya
Mkuu hapo juu anasema kaenda millage...
 
 

Its a crime to comment negatively on something which you had not experienced in your lifetime,having an affair is far different than being in marriage institution.
 
Kwani unafiki unauelezeaje? Maana nikiangalia hata mifano ulotoa nashindwa kukuelewa. Abraham alilala na house girl sio kwa kutaka Bali mkewe alimpA ruhusa sasa unafiki unatoka wapi apo? Otherwise unafiki upo tuu hata bila ya ndoa na ukifanya reference ya bible neno la Mungu halipingiki NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE!
 

Okay kwa hio UMEKUBALI UNAFIKI UPO ILA UNASEMEHEKA MDA WOWOTE UKIBAMBWA LAKINI, USIPOBAMBWA NUSRA, NUSRA ALMANUSRA UMENUSURIKA?

So pi unakubali mambo si tambarare huko, unafiki upo ila mnakabiliana nao?

NO FURTHER QUESTIONS YOUR HONOR!
 
 
ktk huu mjadala kuna namna si bure kumbe haujaisha tu??
 
ndoa ni kama basi la abiria wanaoingia humo kila mtu na tabia yake kama wakimisbehave wachunguzwe abiria husika na sio kusema basi zima hawana maana

socrate daughter!

excellent point, na usipokuwa na nauli ya kuingilia humo basini, usitukane waliofanikiwa kuingia kwa kuwaita wanafiki na wasio maana...

Kama vipi tafuta basi jingine hata kama jua linaelekea kuzama, utafika tu hata kama ni usiku wa manane....
 
nimekuelewa mkuu ila hata mm amenishangaza sana sijui kwanini ameamua kuleta thredi ya namna hii yaani nikimfikiria nabakia nimwombee tu ndo kilichobakia
 
Rafiki umeongea vyema yaani naona hajajitambua akijitambua atajua namna alivyoleta uzi hapa si vyema

yaani hata mm mwalimu wa wanawake/ mfundaji bora/mtoa somo amenishangaza mno sijui niseme nini hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…